Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bayern Munich 2nd goal was offside .. too [beIN Sport]

C9uabv0XoAQfd6w.jpg:large

Sio goli la pili tu hata penaiti yao pia haikuwa halali Robben alicheza na akiri za refa tu, hakuguswa alijiangusha tu, Kifupi refa hakuwa vizuri kwa pande zote sema Real wamefaidika zaidi na hiyo Red, Ikumbukwe pia aliepigwa Red ni mzee wa faulo sana tena ana bahati hata kufika hizo dakika kwa leo
 
Hawa marefa wanaotoka ligi ndogo ndogo sijui uefa huwa wana waamini vipi hadi kuwakabidhi mtanange mzito kama huu... Huyu refa kabugi tangu mwanzo huyo Casemiro kwanza alistahili kula umeme kabla hata ya Vidal. Bado kawazawadia goli la offside.
Ninaona unalia lia na refa, ila unasahau kuwa Vidal alitakiwa kupewa card mwanzoni kabisa ya kipnd cha pili baada ya kumfanyia Casemiro faulo karibia na edge ya box Lao? kwanin husemi kuwa na hapo refa alikosea? Kama alimpa Vidal second chance kwanin isiwe kwa Casemiro? Ulikuwa huangalii mpira peke yako.
 
Hahaha usinifanye ni cheki...

KESHO redcard mbili goli tano.
Barcelona + Madrid= Refa.
Ahahaha.... Timu za uefa hizi zitatokaje mapema kizembe kizembe hivi, kuzitoa itabidi ufanye kazi ya ziada haswa.
 
Bayern Munich 2nd goal was offside .. too [beIN Sport]

C9uabv0XoAQfd6w.jpg:large
Eheheh.... Unachekesha kweli. Bila shaka huyo commentator/mwandishi wa Beinsport ni madrista mwenzako ndio maana katoa hilo boko eti offside. Hakuna hata reply yoyote iliyoonyeshwa baada ya goli kusharia hiyo ilikuwa ni offside. Alafu kingine mpira umewagonga mabeki watatu kabla ya kujaa wavuni hiyo offside inakuja vipi hapo!!?

Labda ungeongelea penalty ndio angalau ungeeleweka maanake wote tunamjua robben kwa kujirusha.
 
Eti wanadai UEFA Ndio inapata msisimuko.

Unazi umewajaa wanashindwa kufungua macho.
naona Haters wa Madrid mmekutana basi ndo mnatujazia thread yetu 😡😡😡😡😡
nyie kama team zenu zimeaga mashindano mjipange tu msimu ujao😀😀😀
 
Mnalialia tu humu, penalty ya Bayern haieleweki, own goal la Ramos karibia wachazaji 3 wa Bayern walikuwa offside na yule Vidal alitakiwa aende nje before sana sema refa kamvumilia tu
 
Eti wanadai UEFA Ndio inapata msisimuko.

Unazi umewajaa wanashindwa kufungua macho.
Huwa wanajitahidi sana wakutanishe El classico fainali kila mwaka, ukitaka kuona hili hebu subiri Leo barca nae akibahatika kupita uone kama watapangwa nusu fainali... Yaani unaziii tu na drop zao za kinafiki.
 
Heshima kwako Mkuu,

Unamacho matatu haswa,Sasa kwa sababu wanamacho na hawaoni yaani ni kazi kwelikweli.

Huu ushabiki wa kinazi ukiona nyeupe unasema ni nyekundu niliutupa mkono Miaka saba nyuma.

R.Madrid wanaunafuu kubwa lake ni jirani yake Barcelona...aisee kama vile wanafanyanao mazoezi marefaree.
 
Mnalialia tu humu, penalty ya Bayern haieleweki, own goal la Ramos karibia wachazaji 3 wa Bayern walikuwa offside na yule Vidal alitakiwa aende nje before sana sema refa kamvumilia tu

Kweli wewe ni muhafidhina wa bernabeu, hapo kwenye blue sentensi yako itakuwa ina maana kama utamuweka Casemiro. Casemiro kamchezea rafu zaidi ya nne Vidal na kamchezea foul mbaya robben hadi wachezaji wote wa bayern wakalalamika lakini refa kapuuzia..Vidal kaja kugusa mpira tu mtu kajiangusha na red card hapo hapo, yaani refa ni kama alikuwa amesetiwa kutoa maamuzi mabovu.

Hiyo offside ya goli la pili la Bayern sijui inatoka wapi.. Leta video inayoonyesha hapa tuone.
 
Viwango vibovu vya marefa vinaharibu utamu wa haya mashindano
 
Heshima kwako Mkuu,

Unamacho matatu haswa,Sasa kwa sababu wanamacho na hawaoni yaani ni kazi kwelikweli.

Huu ushabiki wa kinazi ukiona nyeupe unasema ni nyekundu niliutupa mkono Miaka saba nyuma.

R.Madrid wanaunafuu kubwa lake ni jirani yake Barcelona...aisee kama vile wanafanyanao mazoezi marefaree.
Ahahaa...kwa hiyo una maanisha sasa hivi wako nao camp nou wanafanya mazoezi na kupeana code watakazokuwa wanatumia uwanjani.
 
Ahahaa...kwa hiyo una maanisha sasa hivi wako nao camp nou wanafanya mazoezi na kupeana code watakazokuwa wanatumia uwanjani.
Hehehe!!!
Hilo halina mjadala Mkuu,

Kesho nawahi mapema nishuhudie hiyo miujiza kama wanavyoiita wana Barc.

Hivi casemero kamaliza gemu Mkuu. ..?
 
Back
Top Bottom