Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hawa marefa wanaotoka ligi ndogo ndogo sijui uefa huwa wana waamini vipi hadi kuwakabidhi mtanange mzito kama huu... Huyu refa kabugi tangu mwanzo huyo Casemiro kwanza alistahili kula umeme kabla hata ya Vidal. Bado kawazawadia goli la offside.
nyie subirieni mechi yenu baadaye msianze kulia lia hapa
 
For those who are complaining about this game, yes Bayern played good football, but how many shot did they have on target? Only 2! One of their goal was a penalty and the other one an unfortunate own goal. Madrid should've gone through even without refereeing blunders.
 
Well said
 
nyie subirieni mechi yenu baadaye msianze kulia lia hapa
Hahaha.... Najua tu hata Leo pia mbeleko show kwa timu za laliga inaendelea.

Sikatai Madrid wamecheza vizuri na walikuwa n chance kubwa ya kupita kuliko bayern, ila refa kaweka ganda la ndizi na ndio maana matokeo yamekuwa hivi.
 
Na wale tusingefika extra time... Shukrani za dhati ziende kwa refa.

Umeangalia mechi gani? Bayern wamecheza mpira nyuma tu kule mbele hawakupiga kabisa. Magoli yao mawili moja la penalty na jingine own goal. We subiri timu yako inatandikwa kesho
 
Bayern Munich 2nd goal was offside .. too [beIN Sport]

C9uabv0XoAQfd6w.jpg:large
 
Umeangalia mechi gani? Bayern wamecheza mpira nyuma tu kule mbele hawakupiga kabisa. Magoli yao mawili moja la penalty na jingine own goal. We subiri timu yako inatandikwa kesho

Ahahaha.... Kwani hapa tunazungumzia mechi gani?? Aliyecheza nyuma sana kabla ya red card ni madrid wewe. Mngeweza kupita lakini maamuzi mabovu yametia doa ushindi wenu. Kwa hiyo nyie na Barcelona hamna tofauti si ajabu kesho tukayaona yale yale kama yaliotokea bernabeu alafu nyie ndio mkawa wa kwanza kupiga yowe humu kuwa barca wanabebwa....ovyo sana timu za laliga(za FIFA)
 
Back
Top Bottom