middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,693
Because of two consecutive yellow cards
Ukitaka kuifunga R.Madrid zuia Marcelo asipeleke msaada kwa washambuliaji wakePamoja na yote ila Marcelo sio mtu yule haki ya nani...



Hapa kuhusu Marcelo sijakupata mkuuPamoja na yote ila Marcelo sio mtu yule haki ya nani...
Kabla yako mdogo wangu..naifaham kuliko wewe..kwa zaid ya miaka 23...Hiyo Madrid umeanza kuishabikia lini kwanza?
Hehehe!!!
Hilo halina mjadala Mkuu,
Kesho nawahi mapema nishuhudie hiyo miujiza kama wanavyoiita wana Barc.
Hivi casemero kamaliza gemu Mkuu. ..?
Sasa unakumbuka vizuri nusu fainali ya 2012 hapo hapo bernabeu dhidi ya Bayern Munich?Kabla yako mdogo wangu..naifaham kuliko wewe..kwa zaid ya miaka 23...
Mkuu Marcelo ni tishio asikwambie mtu, Huyu Marcelo akishika mpira timu pinzani sio mashabiki wala wachezaji wanaanza kujamba,..... wachezaji wa Madrid watacheza ovyo wote lakini sio Marcelo sikumbuki ni lini Mara ya mwisho alipotea kwenye big game. Ila C.ronaldo siku hizi hasipofunga goli unaweza usijue kama yumo uwanjani.Hapa kuhusu Marcelo sijakupata mkuu
And this should've been known even before the end of the game.Casemiro will miss next uefa match

Kumbuka real Madrid wamechukua ndoo msimu ambao wamewatoa bayern. 2000, 2002 na 2014Sasa unakumbuka vizuri nusu fainali ya 2012 hapo hapo bernabeu dhidi ya Bayern Munich?
Casemiro alimaliza game kwa msaada wa refa na muwezeshi mkuu akiwa ni Perezi.
Ya saba siyo sitaReal nusu fainali kwa mara ya sita mfululizo
Displine ya wachezaji wa madrid ndio imewasaidia, kadi moja tu ya njano Casemiro ila bayer 5 yellow cards
Replay kwa Vidal alicheza rafu nyingi sana refa akachoka kumlinda. Kuhusu Casemiro hakucheza rafu kwa kiasi udhaniacho.Kadi moja ya njano kwa rafu zaidi ya nne tena nyingine alitaka kumvunja mguu Robben. Alafu na pia kama uliangalia vizuri ile ya Vidal hai kuwa rafu alicheza mpira sema rafa alidanganyika.
Taarifa mbaya sana hiiCasemiro will miss next uefa match