Teh....teh....mahaba niuweeee!!Replay kwa Vidal alicheza rafu nyingi sana refa akachoka kumlinda. Kuhusu Casemiro hakucheza rafu kwa kiasi udhaniacho.
Huyo jamaa ni bichwa nazi tu yaani analia lia kwa kutazama upande mmoja tu.Ninaona unalia lia na refa, ila unasahau kuwa Vidal alitakiwa kupewa card mwanzoni kabisa ya kipnd cha pili baada ya kumfanyia Casemiro faulo karibia na edge ya box Lao? kwanin husemi kuwa na hapo refa alikosea? Kama alimpa Vidal second chance kwanin isiwe kwa Casemiro? Ulikuwa huangalii mpira peke yako.
Kama ambavyo wewe na mwenzako hapa mnavyotazama upande mmoja basi hata mimi pia ntatazama upande mmoja na kama unatazama objectively basi hata mimi pia nnatazama bila upendeleo... Katimu kenu kalizidiwa mlikuwa mnacheza utafikiri mko ugenini uwanja mzima ukawa kimyaaa hadi refa alivyoamua kuwasaidia ndio mkaanza kuruka ruka hadi mkapata magoli tena mengine ya offside ila kwakuwa wewe ni muhafidhina maandazi wa bernabeu hata hili nalo utakataa.Huyo jamaa ni bichwa nazi tu yaani analia lia kwa kutazama upande mmoja tu.
Niwakumbushe kuwa el-classico ya last year tulishinda kwa come back tukiwa 10 man hivyo hamna sababu za msingi kwa bayern kushindwa.
Hili wenye mahaba na timu yao hawalioni.Casemiro alimaliza game kwa msaada wa refa na muwezeshi mkuu akiwa ni Perezi.
Wahafidhina hawa utawaweza.Kama ambavyo wewe na mwenzako hapa mnavyotazama upande mmoja basi hata mimi pia ntatazama upande mmoja na kama unatazama objectively basi hata mimi pia nnatazama bila upendeleo... Katimu kenu kalizidiwa mlikuwa mnacheza utafikiri mko ugenini uwanja mzima ukawa kimyaaa hadi refa alivyoamua kuwasaidia ndio mkaanza kuruka ruka hadi mkapata magoli tena mengine ya offside ila kwakuwa wewe ni muhafidhina maandazi wa bernabeu hata hili nalo utakataa.
Hehe... usifikirie hivyo Mkuu,Hii ni irrelevant na mechi ya jana, wale Barcelona hata mkiwa 8 mkiweka basi tu hawapati goli na pia Barcelona ni tofauti na Bayern Munich... Sipati picha Jana nyie ndio mngekula umeme mkabaki nusu uwanjani kama mko 11tu lakini bado kuna muda wote mligeuka mabeki vipi kama hoyo casemiro refa angempa adhabu yake iliyomstahili(red card)??
Huo ushauri wape TFF, wazungu hawana ubwege kama wabongo. Mapenzi yao kwa soka sio ya kuigiza. Watu wataenda uwanjani kama kawaida na tiketi zitagombewa sana. Barca amelalamikiwa miaka mingi tu kua anabebwa, hadi wakaitwa Uefalona, kwani watu wameacha kwenda viwanjani?! Suala la magoli ya utata hayakuanza leo, na hayataisha. Watarekebisha watakapoona panafaa. Wazungu wenyewe walishalalamika jana na kutoa maoni yao jana. Lakini wajuaji wabongo wanaendelea kupovuka hadi leo, wanatamani na Uefa ingekuwa na Kamati ya masaa 72!!Uefa wanaanza kuua Futball... Yakiwakuta ya Bongomuvi wasilaumu ...kwamba Oooh wapenzi wa Soka siku hizi wamepungua...Ushaur wa bure kwA UEFA 2yrs mbele wasirudie haya watavuna mabua
