Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

Wengi wanaotetea hapa wamevuka hiyo 30 na washatumika hadi mashavu yamekuwa kama mbwa wa mzungu......
Ndio wanaongoza kutafuta waty mitandaoni maana mtaani kwao wanajulikana malayaaaaaa mbwa
 
Hao wa 30s - 40s nawapendaga ao.
Yani anajua hiki kitoto hakinioi so ni Mpepe tu mwanzo mwisho dadeki.
LONG LIVE TO 30s-40s SISTAZ!!
 
Wengi wanaotetea hapa wamevuka hiyo 30 na washatumika hadi mashavu yamekuwa kama mbwa wa mzungu......
Ndio wanaongoza kutafuta waty mitandaoni maana mtaani kwao wanajulikana malayaaaaaa mbwa

Respect to our mamaz, huu siyo ujanja sidhani kama familia yenu wote wameshaolewa hii insult kwa wanawake haikubariki kabisa na ufute hii kauli yako ya kipumbavu.

Kuoa/kuolewa si lazima ni jambo la hiyari, nawapongeza sana wanawake wote ambao hawajaolewa kuliko kuolewa na mwanaume suruali msikubali.
 
Wengi wanaotetea hapa wamevuka hiyo 30 na washatumika hadi mashavu yamekuwa kama mbwa wa mzungu......
Ndio wanaongoza kutafuta waty mitandaoni maana mtaani kwao wanajulikana malayaaaaaa mbwa

una umri gani?!
 
Hahaha sasa wasiwasi wa nini tena mpendwa wangu?...unajua ukiona kitu kimekugusa moyo wako...kinachotakiwa kwanza moyo wako u-ukubali ukweli kuwa kwa sasa ni ALASIRI...hivyo uongeze mawindo yako ili mwisho wa siku na wewe upate kumbatio lako peke yako..vinginevyo jua litaku-chwea saa 12 jioni...halafu at the end uanze kuwa na stress kama yule Bi kiroboto wa mjengoni...maana itafika muda hata wa kukuambia dada mambo? hutamuona....TAKE MY WORDS!
Jamani wewe heeee........?hakuna anaye penda kuwa single mpaka umli huo,nyie pia MNA changia mnatuumiza sana,wengi wenu so wakweli......na ambaye yuko single mpaka uli huo ujue aliumizwa ......
 
Lakini kama mmiliki alishapatikana hakuna shida maana uchovu wote wa usingizi ikifika mida mida ileeeee Mr.husband atawajibika, lakini tatizo linakuja kwa hao ambao bado wapo wapo kwanza hadi ALASIRI INAINGIA....bila bila

Kwavile co dhambi kuto olewa au kuchelewa kuolewa bhas barida mc wanyooshee vidole na kwa vile co lazma kuolewa bhas pia waacheni....
 
Wengi wanaotetea hapa wamevuka hiyo 30 na washatumika hadi mashavu yamekuwa kama mbwa wa mzungu......
Ndio wanaongoza kutafuta waty mitandaoni maana mtaani kwao wanajulikana malayaaaaaa mbwa

Duuuuuuh but ucwahukumu kiivo lol.....mbona wasemea mioyo ya watu ndoa zenyewe ckuizi hazina maana ni bora uwe cngle ili uwe na furaha na amani.....
 
Na siyo kila mtu aliandikiwa kuolewa! wengne hawapati muoji wanaishia kwa wanaume mchwara tu wanawalaghai then wanawaacha, wengine hawapendi pia kuolewa, na muda mwngine kuolewa n bahati ya mtu.. wapo ambao wanavigezo vyote lakin walikosa waume. So isichukuliwe km kufikisha miaka 30 nyumban ni kosa mtu kafanya au hakutulia enzi zake. Hyo idea si ya kwel
 
Back
Top Bottom