Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

hii kitu eti 'umezalia nyumbani' mbona ni msemo wa zamani sana
 
Na hakika hili jiwe litawagusa wengi sana. Ila duuh 30's kama demu hajaolewa atakuwa ndemwa huyo.

Mkuu hawa watu ukiwaeleza hawakuelewi, wenyewe utasikia wakikwambia hakuna waoaji....
Walipokuwa wabichi waliringa sana na kuchezea miili yao hadi watu wameacha alama....
Baada ya kuona yanawafika shingoni wanaanza jirahisisha zaidi kumbe ndo wanatumika zaidi...
Hakuna mtu anaetaka kuoa mtu ambae atakufa mapema na kuacha watoto wakilelewa na wanawake wengine..
21-24 unatakiwa uwe umeolewa na umemaliza kuzaa ili ulee watoto na uone mafanikio ya watoto wao...
Kuna viranja wao humu wanawadanganya sana... wana kikundi chao cha No Free P, huyo Raisi wa hicho kikundi nae kaozaa hadi juzi juzi kaamua kubadilika.. ubaya kawaacha wenzake huko wakifa kibudu
 
Sio 30's tu,hata kuwa late 40's bado sio sababu ya kuolewa na yeyote anayekuja mbele yako na ku propose ndoa.
Thamani ya mtu haishushwi na umri,usiolewe kisa umri unaelekea alasiri ukaishia kuishi maisha ya majuto.

Mwanaume perfect huwezi mpata mpaka siku yako ya kufa kama ilivyo kupatikana mwanamke.perfect. Kuna mambo mengine unatakiwa uyakubali yalivyo na mengine mnaerekebishana. Ile ya kwanza mtu awe perfect ndo uolewe ni ngumu sana. Kumbuka na mwanaume naye ana mtizamo huo wa kupata mtu mwenye vigezo. Kwahiyo inabidi wakati mwingine ukubali hali ilivyo.

Maisha ya mtu zaidi ya mmoja ni changamoto lakini hakuna maendeleo ya mtu peke yake. Kwahiyo changamoto za ndoa huwezi kuziepuka maana zaidi ya hapo tutakuwa na society ya ajabu.
 
Naona kweli wameanza tena!!
Hizi mada za age limit, single mothers, sijui vibamia, rambo, kuhonga, mwanaume suruale, pesa ndo kila ktk mahusiano, mmmh zinaletaka tafrani kubwa humu ndani

Mtu akipigwa kibuti huko na 30+ basi stress zake anakuja kumalizia humu, nani aliyesema 30+ hana choice? Yaani uolewe tu na gumegume kisa kuhofia umri!!!
 
Mtu akipigwa kibuti huko na 30+ basi stress zake anakuja kumalizia humu, nani aliyesema 30+ hana choice? Yaani uolewe tu na gumegume kisa kuhofia umri!!!

si ndo hapo chacha!!!
 
Wengi wanaotetea hapa wamevuka hiyo 30 na washatumika hadi mashavu yamekuwa kama mbwa wa mzungu......
Ndio wanaongoza kutafuta waty mitandaoni maana mtaani kwao wanajulikana malayaaaaaa mbwa

Kaka umetumia maneno makali sana, watake radhi.
 
sawa ila mada nyigine nikuongezea watu kasi ya stress...ni ukwel unaouma

wakat mwingine tumia lugha laini laini kidogo....
 
Sio kila Mtu Anapenda kufikia umri huo akiwa single. Na sio kila anayefikia umri huo bila ndoa, alikuwa anachagua wanaume. Na sidhani Kama ukifikisha 30s au ukizalia nyumbani, basi ndo usiwe na mwanaume unayewish Kuwa naye, kwa hiyo Mtu ajillazimishe tu kuolewa na yeyote kwa sababu she is in her 30s? Wapo wanaume wanaooa wadada wenye watoto na wenye 30s na ndoa zao zina baraka mno. Ni kumpata Mtu sahihi tu kwa kwako
Unalo. wewe utakuwa above 40
 
Basi sawa nimekuelewa binafsi
 
Halafu mbaya zaidi huyo mdada awe na kazi au biashara iliyosimama, minato ndio inazidi....
 
Hakuna umri kamili wa kuoa/kuolewa,bali ni pale utakayempata anayekufaa kwa wakati unaokufaa.Mtu hawezi kukubali asichokipenda eti kisa umri,hapo atakuwa hana utashi bali anaishi maisha ambayo ni artificial not real one vinginevyo utakuwa unaibaka hiyo ndoa matokeo yake itakuwa ndoano!
 
sema wewe kiaz kitamu.... watu wako stressed na wanawake above 30 ambao ni single.... cjui wanawasshwa nn yan.. waachen walaleeeeeeeeeee.
 
hahhaha kameze wembe kama wanakukera sana, or kaolewe wewe badala yao... k za kwao wewe unatekenyeka!:flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame:
as a matter of fact HILI JAMBO SI KWELI! Mungu ndiyo anapanga ndoa utaishi na nani, wapo machangudoa walio kubuhu na wanaolewa.
 
Back
Top Bottom