Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
That's it darlin. You don't have to attend every argument you are invited tohahhah i like that attitude
That's it darlin. You don't have to attend every argument you are invited tohahhah i like that attitude
hahhaha kameze wembe kama wanakukera sana, or kaolewe wewe badala yao... k za kwao wewe unatekenyeka!:flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame::flame:
as a matter of fact HILI JAMBO SI KWELI! Mungu ndiyo anapanga ndoa utaishi na nani, wapo machangudoa walio kubuhu na wanaolewa.
Kweli. Maana Heaven on Earth ni kademu kangu ambako hatukufahamiana barabarani.
Jamani wewe heeee........?hakuna anaye penda kuwa single mpaka umli huo,nyie pia MNA changia mnatuumiza sana,wengi wenu so wakweli......na ambaye yuko single mpaka uli huo ujue aliumizwa ......
mi sijawahi tamani kuolewa aisee naona batabatani tuuuuuu kweli mkifikir watu wote wanapenda ndoa mmekosa, wapo wanaume 45+ but hana mpango wa kuoa jabisaaa
mi sijawahi tamani kuolewa aisee naona batabatani tuuuuuu kweli mkifikir watu wote wanapenda ndoa mmekosa, wapo wanaume 45+ but hana mpango wa kuoa jabisaaa
Sina cha kukuambia kwa sasa. Mwezi hauniruhusu.... Subiri uishe ntakwambia vyote vitamu uvipendavyo.haaaaaaaaa niambie baby wangu.. mekumiss
Mmmmmh! Hii si bure kuna kitu apa mtoa mada umegusa sehem husika
Aliyekwambia watoto wote wanazaliwa kwenye ndoa nani.JiongezeUsiige kila kitu,ndomana mwishowe mnafanya late decisions na kutuzalia watoto wenye mental retardation,kuzaa kwa kuchelewa sana kuna matatizo yake lukuki.