mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Watu wengine bana, sasa kufikisha 30 ndio nini? Camila mke wa Prince Charles aliolewa na miaka mingapi? ndo roho yake ilipopenda. wewe unadanganya watu mtu aolewe mapema ili nini? akubali kuwa punching box ya mtu mwingine kisa umri? LOL umepotea wewe. Kila mtu ana uchaguzi wake rafiki yangu ukae ukijua hilo na ipe roho kitu inapenda kama wewe huwezi wenzio ndio wanawataka hao, wametulia wana maamuzi yenye busara. NAOMBA KUTOA HOJA