Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

Sasa unawezaje kumaindi shughuli zako bila kuwa na dawa (kumiliki muhogo) wa kukutoa stress.....we si umeona...Le Madame De Speaker of House of Commons.....anavyochemka baada ya kupita hiyo....STAGE YA 30's....bila bila....Hadi leo, Full stress.....sasa how comes you will manage Your own business without MPINGo......of You're ownership? Be realistic Masai Dada...you have credibility in JF.

mgegedo of ur own????????

never
 
Huwa nachukia kuona mada zinazohusu umri wa wadada zikitolewa na wanaume nina wasiwasi na jinsia ya mtoa mada

Hahaha sasa wasiwasi wa nini tena mpendwa wangu?...unajua ukiona kitu kimekugusa moyo wako...kinachotakiwa kwanza moyo wako u-ukubali ukweli kuwa kwa sasa ni ALASIRI...hivyo uongeze mawindo yako ili mwisho wa siku na wewe upate kumbatio lako peke yako..vinginevyo jua litaku-chwea saa 12 jioni...halafu at the end uanze kuwa na stress kama yule Bi kiroboto wa mjengoni...maana itafika muda hata wa kukuambia dada mambo? hutamuona....TAKE MY WORDS!
 
Chonde chonde wanaume, usioe mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, huo ni mtumba ukiuchoka utaona ubaya wa mtumba
 
Dah madongo mengine. Cpat picha akasoma mdada ambaye inamuhusu atakavyokunja sura. Lkn ndio ukweli
 
Hahaha sasa wasiwasi wa nini tena mpendwa wangu?...unajua ukiona kitu kimekugusa moyo wako...kinachotakiwa kwanza moyo wako u-ukubali ukweli kuwa kwa sasa ni ALASIRI...hivyo uongeze mawindo yako ili mwisho wa siku na wewe upate kumbatio lako peke yako..vinginevyo jua litaku-chwea saa 12 jioni...halafu at the end uanze kuwa na stress kama yule Bi kiroboto wa mjengoni...maana itafika muda hata wa kukuambia dada mambo? hutamuona....TAKE MY WORDS!

Hujakuwa ww kuwa uyaone,hongera zako ww ambaye dada zako wamefikisha 18 na kuolewa wote
 
Kuwa na miaka 30+ hakufanyi mtu asiwe na vigezo na hakuna mtu ambaye hana vigezo! Kwani mtu kufikisha miaka 30 anakuwa hana haki kama watu wengine?

Halafu muda mwingine si kila mtu anaye fikisha miaka 30 bila kuolewa amepitia hayo au amependa....!
 
Ahsante kakayangu rutta mtoa mada katika ukoo wao dada zake walipofikisha 18waliolewa wote
 
Ahsante kakayangu rutta mtoa mada katika ukoo wao dada zake walipofikisha 18waliolewa wote

Unique dada teh teh teh wamegusa kunako, njoo kunako in box tuchonge kidogo sisi watu wazima wa 30 tunawezatukaelewana
 
Sio kila Mtu Anapenda kufikia umri huo akiwa single. Na sio kila anayefikia umri huo bila ndoa, alikuwa anachagua wanaume. Na sidhani Kama ukifikisha 30s au ukizalia nyumbani, basi ndo usiwe na mwanaume unayewish Kuwa naye, kwa hiyo Mtu ajillazimishe tu kuolewa na yeyote kwa sababu she is in her 30s? Wapo wanaume wanaooa wadada wenye watoto na wenye 30s na ndoa zao zina baraka mno. Ni kumpata Mtu sahihi tu kwa kwako

Ukirusha jiwe gizani likimpata mtu utajua tu..
 
ki ukweli sijasoma hadi mwisho ila nachowaza ni kimoja

SIKU KILA MTU ATAKUWA ANAMIND SHUGHULI ZAKE HUMU DUNIANI DUNIA ITAKUA SEHEMU NZURI SANA YA KUISHI

Sasa ubolonge mwenyewe halafu uone shida kuambiwa? bila shaka ww ni 30s na ni muhanga....pole sana, hadi uje ufikishe 60 mh sipati picha🙂
 
Sasa unawezaje kumaindi shughuli zako bila kuwa na dawa (kumiliki muhogo) wa kukutoa stress.....we si umeona...Le Madame De Speaker of House of Commons.....anavyochemka baada ya kupita hiyo....STAGE YA 30's....bila bila....Hadi leo, Full stress.....sasa how comes you will manage Your own business without MPINGo......of You're ownership? Be realistic Masai Dada...you have credibility in JF.

Ana credibility gani? au unajitengenezea mazingira! c juz tu alkuwa anabwabwaja mitusi kwny uzi flan.
 
SAWEBOY

Mtoa mada jipanga bhana.....Yaan wewe kitu gan kimekufanya mpaka utoe mada kama hii lakin...Umri hauna Limit ya kuoa wala kuolewa...Nashkuru mungu shule zimeshaanza kufunguliwa.
 
Last edited by a moderator:
Unique dada teh teh teh wamegusa kunako, njoo kunako in box tuchonge kidogo sisi watu wazima wa 30 tunawezatukaelewana
Unajua zamani ilikuwa binti akifikisha miaka 22 hajaolewa ni shida.bt nowdays kila mtu anauhuru wa kuchagua maisha gani aishi sasa watoto wa siku hizi kama mtoa mada amekariri kuwa ni lazima kuolewa/ kuoa,maisha siku hizi hayako hivyo na wala kuolewa sio tiketi ya kuuona ufalme wa Mungu so nyie wavulana msikariri
 
Back
Top Bottom