rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,419
2 wakorinto 10:3,,
Maana ingawa twaenenda katika mwili hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili,
Reaction ya Mchungaji Gwajima imenifanya nirudi nyuma hatua Moja na kukaa chini na kutafakari upya vita ya kiroho tuliyo nayo sisi wateule,
Najiuliza kwa mkristo aliyekomaa katika neno LA Mungu je kuna haja ya kupanik unaposingiziwa? Je neno la Mungu halijatoa maonyo tangu mwanzo wa wakovu wetu likisema tujitwike msalabu na tuhesabu gharama? Je anachopitia mtumishi wa mungu siyo msalaba uliotajwa na bwana wetu Yesu Kristo?Basi furahini kwa kuwa mmehesabiwa haki mbinguni,
Bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya!
Najiuliza swali kama kweli kuingia mbinguni ni jambo rahisi?
Wapendwa mnisamehe lakini najiuliza maswali mengi sana juu ya mwenendo wetu kama wateule,
Mungu na anisaidie nimalize mwendo wangu salama,