Reaction ya Mchungaji Gwajima imeniachia maswali mengi!

Na hapa ndiko Ukristu unapodhalilishwa, watu hawauishi Ukristu kabisa. Anaeijua Paradiso kindakindaki amesema "ni vigumu kwa tajiri kuiingia" cha ajabu wachungaji wetu ndo kwanza wanapigania utajiri.

Siwaelewi kabisa wanaowafuata, waumini wao. Yesu ametuhasa kuukana ulimwengu huu na tuyapiganie zaidi ya mbinguni, wao huyahubiri zaidi ya ulimwengu huu. Utajiri, ajira, uzazi na uponyaji wa kimiujiza. Ilinenwa, ni kizazi cha nyoka ndicho kipendacho miujiza, leo angalia inavyokumbatiwa. Hui mchungaji mzuri hadi uwe Mkuu ktk miujiza, hata isiyoeleweka asili ya nguvu zake zinatoka wapi kama ni watuhumiwa hata kwa uuzaji wa vitu haramu ktk jamii.
Acha upotoshaji wewe. Ni wapi biblia inaposema utajiri ni dhambi? Ni wapi ambapo Biblia inausifia umasikini? Your problem is you have poor understanding about how to interpret the Bible!
 
alichowapa Gwajima waaamini wake ni zaidi ya madawa ya kulevya!
maana hawasikii hawaambiwi, kuhusu huyo Gwajima.
imani aliyowapa juu yake ni zaidi ya madawa.

halafu wanaacha kujibu hoja wanaanza ooh mimi mwenyekiti wa Yanga,mimi mbunge ,Hafai kuniita vile...
hivi mtuhumiwa anapaswa kubembelezwa????
kwahiyo wao walitaka Rais Maghufuli akakae central aanze kuwaita? maana ya Mkuu wa mkoa,Jeshi la polisi ni nini?
Umeitwa polisi kajibu hoja ,usianze bla bla
Unavijua hata vitengo vinavyoshughulika na madawa ya kulevya? Unahisi kwanini wapo kimya?
 
Gwajima anaitwa mchungaji kwa kuchunga kitu gani?!

Mtu anaonekana kabisa Tapeli yule ila bado mnamwita mchungaji eboooo
Mzaramo, naamini wewe utakua wa dini ya uzaramuni ,na hauko tofauti na makonda unamwita mtu tapeli na hauwezi kuthibitisha na ushahidi huna,na hujui maana ya uchungaji,jifunze kua muungwana
 
Acha upotoshaji wewe. Ni wapi biblia inaposema utajiri ni dhambi? Ni wapi ambapo Biblia inausifia umasikini? Your problem is you have poor understanding about how to interpret the Bible!
Aliye yanena haya ndiye atakayeyahukumu. Ila nadhani we si tu kwamba hujaielewa Biblia bali hujawahi hata kuisoma kabisa. Huujui Ukristo wa mwanzoni ulikuwaje. Kasome matendo ya mitume utaujua ukristu. Kifupi, Ukristu ni kinyume cha ubinafsi wowote ule. Uwe wa kijamii au kiuchumi.

Kuna tofauti ndogo sana kati ya Ukristo na ujamaa, jifunze vyema ktk kweli sio kukaririshwa na wengine kwa manufaa yao. Usije ukapotea kwa kukosa tu maarifa. Mwisho, si umasikini kinyume cha utajiri.

Mafunzo mema. Itafsiri upendavyo kukunufaisha ila Kweli itabaki dawamu kubaki kuwa kweli tu, ina mantiki.
 
Mzazi wako atakuwa analaumu ada aliyoitoa kipindi unasoma maana hakuna kilaza zaid yako
Hapa pamekaaje? Sijakuelewa au uwezo wangu ni mdogo wa kuelewa? Ni kama umemaanisha hii taasisi inayojishughulisha na ulinzi na usalama wa raia na mali zao si kitengo muafaka wa kuzibiti madawa ya kulevya au?

Halafu, kwa kinachoendelea nchini huwa najiuliza maswali kadhaa wa kadhaa. Kwanza, hivi ni kweli kuna waathirika wa madawa ya kulevya nchini? Je hili kweli ni tatizo ktk taifa au ni la kihadithi tu za kisiasa? Je taifa linaumizwa nalo kama ni tatzo?

Huwa nakosa majibu kabisa, labda akina Chid na Ray c, ni wagonjwa wa magonjwa mtambuka tatizo si drugs.
 
Unaihukumu njia wakati bado haijafika tamati? Mi nadhani ni njia nzuri tu hata kama hatopata ushahidi wa kuwatia hatiani, jamii ilijue uwepo wa hili na uwezekano wa watu wasiodhaniwa kuwa ni wahusika.
 
Hapa pamekaaje? Sijakuelewa au uwezo wangu ni mdogo wa kuelewa? Ni kama umemaanisha hii taasisi inayojishughulisha na ulinzi na usalama wa raia na mali zao si kitengo muafaka wa kuzibiti madawa ya kulevya au?

Halafu, kwa kinachoendelea nchini huwa najiuliza maswali kadhaa wa kadhaa. Kwanza, hivi ni kweli kuna waathirika wa madawa ya kulevya nchini? Je hili kweli ni tatizo ktk taifa au ni la kihadithi tu za kisiasa? Je taifa linaumizwa nalo kama ni tatzo?

Huwa nakosa majibu kabisa, labda akina Chid na Ray c, ni wagonjwa wa magonjwa mtambuka tatizo si drugs.
Umepikwa Lumumba sikushngai maana nyie ni watoto mnapakatwa inabidi mkapime marinda kama yako sawa
 
Mzaramo, naamini wewe utakua wa dini ya uzaramuni ,na hauko tofauti na makonda unamwita mtu tapeli na hauwezi kuthibitisha na ushahidi huna,na hujui maana ya uchungaji,jifunze kua muungwana
Dini ya hiyo uliyoipa jina la uzaramuni ndo ipi hiyo Mkuu? Kuhusishwa tu kwa kiongozi wa kidini ni uwalakini. Pia, kuna aina ya ushaidi wa kimazingira. Majibu yake, yametia shaka. Hivi kweli mtu anaweza kuwa na wivu hata akamuhusisha mchungaji na madawa ya kulevya?

Askofu na drugs wapi na wapi? Ila kwa huyu yapo yenye kutia mashaka na kusadikisha, hata kwa ukinyume wake tu wa ukristu. Ukristu ni kujikana, kwenda kinyume na ulimwengu huu, nk.
 
Viuze ulivyonavyo unifuate
Ana Biblia yake, na kwakweli wanayo. Makanisa yao yasingejaza kihivi. Wasinge waona matapeli kuwa ni wafuasi wa Yesu. Tena Yesu ambaye alikuwa na uwezo wa kujiundia vyote kimiujiza, aliyejipatia hata fedha toka kwa samaki, unadhani angeujali utajiri Sulemani angemfikia? Na hata huyo Solomon mwishoni alisemaje ktk yote?
 
Hapa pamekaaje? Sijakuelewa au uwezo wangu ni mdogo wa kuelewa? Ni kama umemaanisha hii taasisi inayojishughulisha na ulinzi na usalama wa raia na mali zao si kitengo muafaka wa kuzibiti madawa ya kulevya au?

Halafu, kwa kinachoendelea nchini huwa najiuliza maswali kadhaa wa kadhaa. Kwanza, hivi ni kweli kuna waathirika wa madawa ya kulevya nchini? Je hili kweli ni tatizo ktk taifa au ni la kihadithi tu za kisiasa? Je taifa linaumizwa nalo kama ni tatzo?

Huwa nakosa majibu kabisa, labda akina Chid na Ray c, ni wagonjwa wa magonjwa mtambuka tatizo si drugs.
ArD67 ,lala upumzike rafiki yangu,dawa za kulevya ni tatizo la dunia nzima,na kote yanapigwa vita,ila ukitazama kwa undani na ukweli kote ,hakuna udhati wa kuyamaliza dawa za kulevya ,usa wana kila aina ya mitambo ya ulinzi lakini bado tatizo lipo na madawa yanauzwa mtaani,kwa maneno mengine hao hao wakubwa ,kuna wanaonufaika navyo kwa njia moja ama nyingine,sasa hapa kwetu mh,katangaza vita ,ni jambo zuri sana,na kila mtu anamuunga mkono,ila tunachokilalamikia ni utaratibu wa kumtangaza mtu kwenye media,kabla mahakama na vyombo husika havijadhibitisha,kua ni kweli anahusika navyo,kwa maana hawa wanaokamatwa ni watu wenye heshima zao kwa jamii,ukikosa unachodhania anacho hutaweza kumrejeshea heshima yake ilioharibika mbele za watu
 
Acha upotoshaji wewe. Ni wapi biblia inaposema utajiri ni dhambi? Ni wapi ambapo Biblia inausifia umasikini? Your problem is you have poor understanding about how to interpret the Bible!
Ndugu, kuwa makini usije ukawa ni mpinga Kristu aliye dhahiri hata machoni mwa vipofu. Usijiondolee sentensi kwenye kile kitabu, nukta tu kumezuiwa.
 
Umepikwa Lumumba sikushngai maana nyie ni watoto mnapakatwa inabidi mkapime marinda kama yako sawa
Siku zote ktk Post zangu huwa nawahasa, msijidanganye kwamba watz wote ni wafuasi wa vyama vya kisiasa. Ndo mana huwa mnachemka hata ktk chaguzi nyingi, huwa mnapima kwa takwimu mufilisi, wenye vyama mko asilimia ngapi kwani?

Vyama vyenu vina takwimu kabisa, kwanini msizijue hizo. Kwa taarifa yako, Tz wenye ushabiki, uanachama wa vyama vyenu ni wachache ukijumuisha na wasokuwa navyo kabisa. Na hata hawa wamegawanyika ktk makundi yote, wasomi, vijana, wazee, na masikini.

Umebugi kabisa ktk hilo Mkuu. Sasa kama siasa ni matusi, unadhani kuna anaejitambua atakayezifuata? Ni wehu tu. Hivi hata sera na itikadi za chama chako unazijua kweli?

Msipobadilika, ni vizazi kadhaa vijavyo.... mtabaki tu wapiga kelele.
 
ArD67 ,lala upumzike rafiki yangu,dawa za kulevya ni tatizo la dunia nzima,na kote yanapigwa vita,ila ukitazama kwa undani na ukweli kote ,hakuna udhati wa kuyamaliza dawa za kulevya ,usa wana kila aina ya mitambo ya ulinzi lakini bado tatizo lipo na madawa yanauzwa mtaani,kwa maneno mengine hao hao wakubwa ,kuna wanaonufaika navyo kwa njia moja ama nyingine,sasa hapa kwetu mh,katangaza vita ,ni jambo zuri sana,na kila mtu anamuunga mkono,ila tunachokilalamikia ni utaratibu wa kumtangaza mtu kwenye media,kabla mahakama na vyombo husika havijadhibitisha,kua ni kweli anahusika navyo,kwa maana hawa wanaokamatwa ni watu wenye heshima zao kwa jamii,ukikosa unachodhania anacho hutaweza kumrejeshea heshima yake ilioharibika mbele za watu
Mi ktk hili nadhani na utoto pia unachangia, hata na maisha ya awali aliyokulia pia. Hapa kuna la kujadilika. Je kuwataja hakuwezi kupoteza ushaidi? Je akiukosa, kisheria serikali hatawalipa fidia na taifa kuingia hasara? Haya yote, yamewaumiza wenye kufikiri kwa kina.

Lakini Vita dhidi ya madawa ya kulevya lazima ianzishwe tu, na lazima tuwe na nia ya dhati ktk hili. Zipo nchi kwa kiwango fulani zinafanikiwa Mkuu. Ila hii ni Vita kuu, na ni ya kimifumo zaidi, hili liko wazi kabisa. Sumu kuu ni ubinafsi, tukiweza kulitoa hili pepo la ubinafsi, vita hii itakwisha kwa ushindi mkubwa.
 
Una taarifa kwamba,kuna nnchi rais wao katangaza wauzaji wa madawa ya kulevya wapigwe risasi,na bado madawa hajaisha? Vita hii itapiganwa miaka nenda miaka rudi lakini ,haitasha ni kitu kinawanufaisha wakubwa,tunaweza kupunguza tu,ila hata hapo tulipofikia ni afadhali kwa sababu khali ilikua mbaya sana,watanzania wengi walikua wanakamtwa uchina kila kukicha,na wengi wamefungwa huko, tuwahimize watu wamrejelee mola wao, ndio njia kuu zaidi
 
Mungu husema nasi kwa ishara pia,Kwa nini atuhumiwe? yalianza ya ndoa ya Mbasha kuvunjwa wakati Mungu husema alichokiunganisha yeye mwananadamu hatakiwi kuvunja sasa kama mtu anavunja atalipwa nini?Mengi tutaona na kusikia lakini tusione na kusikia stay tuned,Mungu hadhihakiwi hata kidogo!
 
Back
Top Bottom