RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

Tena narumu ndo.usiseme na maeneo ya kupita daraja kuanzia kwa Matinga hadi darajani ukichangia na ile land slide pale kupitika ni shda

Mkuu ni shidaa, lazima tupate majibu ya kuridhisha siyo blah blah za kisiasa huku wananchi wakiumia.
 
Na mimi hali itakapokuwa mbaya na kama hatasikia kupitia vilio hivi nitanunua kesi tukutane watu 100 tufanye maandamano ya kudai maendeleo na hatimaye kuwa mobilise watu wamkatae. Tunamtaka mbunge anayewajibika hatutaki usanii sisi.
 
mi natumia kiswahili wewe unatumia lugha ambayo sihifahamu,

acha mbewmbwe dogo wewe! hivi wewe unaishi tanzania?

bajeti yetu ya maendeleo imetekeezwa ka aslimia 22% mwaka 2013/2014 nchi nzima sasa mbowe hela azitoe wapi??

leo nimepita mitaa ya kariakoo na illala dar es salaam barabara karibu zote ni mashimo na ni kama km 2 kutoka ikulu hiyo unasemaje?

tembea nchi nzima uone matatizo ya majimbo mengine alafu endelea kumlaumu mbowe wakati wakulaumiwa unawajua unaogopa kuwasema au umetumwa??
 
Mi najua Moshi vizuri sana since its my originality Siwezi kukubali uongo huu ata kama nipo mbali na Moshi najua kinachoendelea kwahiyo usipende kudanganya watu dunia sasa hivi ni kama kijiji.
Mkuu usitufananishe na wengine, tulitakiwa tuwe mbali sana,.

Haya tuambie tangu Mh Mbowe tumchague kuwa mbunge wa Jimbo la HAI kafanya nini?

Usiwe unadakia usilolijua,. Sisi ndiyo tuliemchagua na tunataka atupe majibu ya kuridhisha.
 
Mkuu ni shidaa, lazima tupate majibu ya kuridhisha siyo blah blah za kisiasa huku wananchi wakiumia.

Wana Hai mlioko humu Chakii, Princess Sayuni, Mwana Kwetu please lets our voice heard kwa maendeleo ya kata zetu ku m task huyu Bwana na siyo blah blah. Please wana hai popote tulipo tujitokeze. Good enough kila mwana Hai aliyechangia anakiri kuwa tunacholalamikia ni kweli na hatuna chuki na Mbunge wetu
 
Lazma tumkumbushe wala haina chuki ni kwa maendeleo yetu
 
mi natumia kiswahili wewe unatumia lugha ambayo sihifahamu,

acha mbewmbwe dogo wewe! hivi wewe unaishi tanzania?

bajeti yetu ya maendeleo imetekeezwa ka aslimia 22% mwaka 2013/2014 nchi nzima sasa mbowe hela azitoe wapi??

leo nimepita mitaa ya kariakoo na illala dar es salaam barabara karibu zote ni mashimo na ni kama km 2 kutoka ikulu hiyo unasemaje?

tembea nchi nzima uone matatizo ya majimbo mengine alafu endelea kumlaumu mbowe wakati wakulaumiwa unawajua unaogopa kuwasema au umetumwa??

Mkuu usituletee figure hapa, maendeleo aliyotuahidi yako wapi?

Umeshafika HAI wewe? Au unasoma mitandaoni na Radio, TV
 
Wana Hai mlioko humu Chakii, Princess Sayuni, Mwana Kwetu please lets our voice heard kwa maendeleo ya kata zetu ku m task huyu Bwana na siyo blah blah. Please wana hai popote tulipo tujitokeze. Good enough kila mwana Hai aliyechangia anakiri kuwa tunacholalamikia ni kweli na hatuna chuki na Mbunge wetu

Mkuu kwa hili tupo pamoja mpaka tupate majibu,.

Hao wanaosema tuna chuki na mbunge wetu tuwapuuze maana hawajui magumu tunayoyapitia,.
 
Acha kupiga danadana, tuambie alichokifanya Mh Mbowe jimboni HAI tangu aingie bungeni 2010.

Mwana HAI hawezi kuzungumza maneno kama unayoyasema,..

HAI unaisikia tu Bungeni au katika vyombo vya Habari na hujawahi kufika,. Wewe unadhani tunasema haya kwa kumchafua mtu na wakati sisi wenyewe ndiyo tuliyemchagua?

Lazima tumfanyie assesment tuangalie ni kitu alichotufanyia na kama hajafanya chochote adhabu yake anaijua,...

Hilo JIMBO lilikuwa linamilikiwa na CCM miaka nenda RUDI walifanya nini cha ajabu ambacho wewe Unakiona kweli CCM inatakiwa kupigiwa Makofi?

Kuvunja KNCU ? kwasababu wakulima kuonekana na Utajiri ??

Kukataza Uenezwaji wa UMEME kwasababu Machame ilikuwa haitumii UMEME wa GRID ya TAIFA - kuna Maporomoko ambayo yanatoa Umeme karibia nusu ya Mkoa wa Kilimanjaro... Sio NYUMBA YA MUNGU...

Yalikuwa Mali ya KANISA Serikali ikachukua Usimamizi na Uzalishaji...

MORE... ??? Ni Sasa, nini huko Machame kinahitajika huyo MBUNGE kashindwa kusaidia????

c.c
chakii MVUMBUZI
 
Mkuu mbona unarejea katika zama za Ukoloni? Kumbuka Machame umeme haujaingia Jana wala leo, hata kabla ya siasa za CCM na CHADEMA nikimaanisha zama za wamisionari umeme ulikuwepo.

Sasa unataka kutuaminisha umeme ameleta Mbowe au CCM? Mkuu mbona unatudanganya sisi wenyeji wa HAI ilhali tunalijui vizuri Jimbo letu?

Kwa maneno yako unayoyasema unaniaminisha kabisa umetumwa kumtetea Mh Mbowe na hautaweza kwani tunayoyasema ni ya kweli na muda si mrefu wananchi wataamka kudai haki yao ya maendeleo.
 
Mbowe ni mmoja wa wabunge wa CHADEMA ambao 2015 hawatachaguliwa tena. Ni mmoja wa wabunge walioshindwa kutekeleza angalau moja tu ya ahadi zao walizotoa kwa wananchi mwaka 2010.
Wengine ambao bunge watalisikia tu ni:
  1. Tundu Lissu
  2. Halima Mdee
  3. Godbless Lema
  4. John Mnyika
  5. Joseph Mbilinyi
  6. Mch. Msigwa

etc...

Sikubaliani na wewe tungoje 2015! Wenzako watakuletea data jinsi ambavyo waliandaa mipango ya maendeleo lakini serikali ikawa haina fedha. Na kwa sababu hawa wako upande wa pili zile kidogo zilizopatikana zikatolewa kwenye majimbo ya chama tawala. Mwenye macho haambiwi tazama! Tukubaliane tu kwamba hawa wabunge wa upinzani wamekuwa ndio viongozi wa chama pamoja na serikali kivuli bungeni hivyo wakajisahau kuwa sisi tunawakodolea macho wanachofanya kuta maendeleo majimboni mwao.
 
Wananchi kulalamika ni haki yao. Mbunge anatakiwa awe karibu na wapiga kura wake mara kwa mara awe anawapa taarifa sahihi ya kinachoendelea katika kutatua kero za wananchi. Mambo ya dharura kama hayo maporomoko mbunge anapaswa afuatilie wilayani kuna fungu la dharura au atoe kwenye mfuko wa jimbo. Kuhusu mashimo kila sehemu njia zimeharibika kwa sababu ya mvua. hatua za awali wananchi wajitolee kuyafukia wakati wahusika wakifanya tathmini ya kupitisha greda au kuziba viraka kama ni barabara ya lami.
Mbunge lazima uwe karibu na wananchi ujue matatizo yao kwa ukaribu.
 
Pale Boma tunataka lami kila mtaa kama ulivyotuaidi kwenye kampeni lami iko wapi kamanda ..nimekupigia kura miaka yote ...ila sijaridhika na maendeleo ya jimbo
 
Wananchi kulalamika ni haki yao. Mbunge anatakiwa awe karibu na wapiga kura wake mara kwa mara awe anawapa taarifa sahihi ya kinachoendelea katika kutatua kero za wananchi. Mambo ya dharura kama hayo maporomoko mbunge anapaswa afuatilie wilayani kuna fungu la dharura au atoe kwenye mfuko wa jimbo. Kuhusu mashimo kila sehemu njia zimeharibika kwa sababu ya mvua. hatua za awali wananchi wajitolee kuyafukia wakati wahusika wakifanya tathmini ya kupitisha greda au kuziba viraka kama ni barabara ya lami.
Mbunge lazima uwe karibu na wananchi ujue matatizo yao kwa ukaribu.

Well said mkuu pembe, before wananchi hawajachukua maamuzi magumu ni vyema akarudi Jimboni mapema sana kuwasikiliza waliompeleka Bungeni.

Wananchi tuna sehemu yetu and the rest mbunge naye anatakiwa atimize Jukumu lake vilevile.

Kama atapuuzia haya sisiti kusema 2015 kura za wana HAI atazisikia kwenye bomba.

Wananchi tumevumilia vya kutosha and we zan not tolerate more,..
 
Last edited by a moderator:

Wananchi tumevumilia vya kutosha and we can not tolerate anymore,..
 
Last edited by a moderator:
Wanasiasa wengine mnaowaambia kupitia humu sio watu ila mbowe ndio mtu ama kweli mahaba nipotezee kama ndege ya malysia ha?????????? Huu ni ukimbukeni isee yani waliomchagua wakasemee chooni kisa toa ujinga hapa

Sasa Kama ni PERSONAL VENDETTA... then It is between U and him ?? Kwanini Unaiweka DUNIA NZIMA waione kama ni hivyo???

Watanzania HATUJUI SIASA -- Tunafikiria VYAMA Vya SIASA ndio Opportunities zetu za kupata Maisha BORA; Kila mtu anakimbia FANI yake i.e UALIMU; BIASHARA; UKARANI; UDEREVA wote kwenye SIASA na IWALIPE kama haiwalipi Mnakimbilia CHAMA KINGINE...

It is a SHAME... we think POLITICS is FEEDING OUR LOUSY STOMACH...
 
Lakini hoteli yake pale inaimarika siku hadi siku na weusi kulala palr ni aghalabu sana wateja wake wengi ni weupe na ipo hapo hapo jimbini.
 
Nakumbuka mwanzoni mwa 2010 alitangaza kuwa kwa kuwa yeye ni mwenyekiti wa chama atakuwa na majukumu mengi hivyo atakuwa anasaidiwa kazi zake na wabunge wa viti maalumu wa mkoa wa kilimanjaro akiwemo mtoto wa Ndesa,hadi leo sijawahi kuwaona popote HAI
 
Lakini hoteli yake pale inaimarika siku hadi siku na weusi kulala palr ni aghalabu sana wateja wake wengi ni weupe na ipo hapo hapo jimbini.

Ile hotel mbona ya kitambo sana na ni nzuri tu toka kitambo
 
Back
Top Bottom