RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

Samahani ila wajingaaa kama hawa kina mahoro, ndo shida hapa TZ, kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake, kila msimu wa bunge MBOWE yuko bungeni unataka nini zaidi ya wajibu huo wa mbunge??? Kazi ya kutekeleza sera za maendeleo za wilaya ziko kwa DC & DED, yeye ni kuwakilisha wananchi inapohitajika. HILI LA WAJINGA KUTAKA MBUNGE NDO ATENGENEZE BARARABA< SHULE, ZAHANATI, Atoe hela za misiba, madawati na hela za maendeleo ndo CHANZO CHA WIZI na ESCROW, EPA etc.

TUweni makini kama tunadhani tunamchango kwa wananchi, kuwapoteza kwa hoja za kijinga hakuna tija. kama umesoma na unaelewa, basi utakuwa unajua ukweli kuhusu kazi za mbunge. KUDANGANYA WATU ETI MBUNGE ATAJENGA BARABARA NI ujinga pia

... Nakubali Mi Ni Mjinga Na Ndo Maana Nilitaka Ufafanuzi Kama Huo Uliotoa, Kumbe Kazi Ya Mbunge Ni Kwenda Tu Mjengoni?? Thanks Nilikuwa Sijui Na Nitawajuza Wengine Kama Mimi
 
Achana naye. uyu jamaa ni boya!

Wabunge kibao wanapigana vikumbo na mawaziri/watendaji maofisini kwenda kulia shida za wapigakura wao. Leo hii mtu #anafyompoka uharo kama huo.

People are mad! Achana nae uyo. Mbowe nikilaza tu. Kwake yeye,kazi za CHADEMA ni bora zaid ya sisi wapigakura wake. why? coz anauhakika wa maisha akiwa kama kiongozi wa CDM.

Sisi wengine huku tulie tu! He has been preaching what he don't practice. Foolish (#mbowe)
 
Hivi Jimboni hai kuna shida gani hasa??? I mean taja shida ambayo ni very serious unless hivyo vimatatizo vidogo vidogo vipo hata hapa Jijini
 
Mwana kwetu wewe ni chizi, huwezi mlaumu Mbowe kwani mbowe ni serikali? Acha kutumwa kwa malipo kidogo
huo ni ujinga unaandika.
 
..... Halafu Apigwe Chini Mwakani Aanze Kutuandamanishe Eti Kaibiwa Kura. Mimi Sitokubali Ingawaje Mimi Ni Chadema Damu
 
Hivi Jimboni hai kuna shida gani hasa??? I mean taja shida ambayo ni very serious unless hivyo vimatatizo vidogo vidogo vipo hata hapa Jijini

.... Mkuu, Ndo Tulitaka Nyie Ambao Mko Huko Mtuambie Mambo Aliyoyafanya Mbowe Ili Na Sis Wanachadema Tupate Jinsi Ya Kumtetea Kamanda Wetu
 
Mwana kwetu wewe ni chizi, huwezi mlaumu Mbowe kwani mbowe ni serikali? Acha kutumwa kwa malipo kidogo
huo ni ujinga unaandika.

.... Mkuu, Kwani Kuhoji Alichokifanya Kiongozi Wako Ni Kosa? Mimi Ni Chadema Damu Lakin Napenda Kufuatilia Walichokifanya Viongozi Wangu Ili Nipate Cha Kuongea Kwenye Mikutano Au Marumbano Yoyote.
 
Back
Top Bottom