RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

Ndesa shimwiishi nndu yeu! Akekarya iwuya na numa foo.

Na mbony eti eeshi deny nnyake malalya sau da.

"Mbo lutana indo ro shaakii. Nndede lumbanika Nsalabeu luruuye ndo atimye amanya ikaa ghembo na yaaghanya wandu wakwe"
 
Poleni sana wa hai lakini hii ndiyo tabia ya wabunge wegi bila kujali wanatoka chama gani ,ikipita rasimu ya katiba mpya wote hawa wataweza kuwajibiswa na wananchi mojokwamoja

Mbowe akicheza atasahaulika kabisa katika duru za siasa kwa sababu anaelekea kukisababishia chama cha anguko kuu katika wilaya anayoongoza ya Hai. Yeye atakuwa mfano wa kukataliwa si kwa misingi ya chama anachotaka bali wa sababu ya kushindwa kuhamasisha juhudi za kuleta maendeleo yaliyotarajiwa.
 
Mimi ni mpiga kura wa jimbo hili na mwanachama hai wa chadema !
Ningekushauri mleta mada kabla ya kuandika haya ungejiuliza hizi barabara ziko chini ya halmashauri au tanroads?
Fine, halmashauri na pia ujiulize michango ya nguvu zenu na halmashauri zimeenda wapi??
Kama wewe na watendaji wa vijiji na kata mtakua mmeua utaratibu wa kupiga mbiu( IGHANDA) kwa ajili ya kazi za utawala katika maeneo yenu husika mnamsubiri Mheshimiwa mtakua wavivu wa kufikiri hata kujikumbusha taratibu zetu za miaka nenda rudi za kujiletea maendeleo na ambazo zimetuweka mbele na kututofatisha na maeneo mengine!
Kuna majimbo yametoa mpaka mawaziri wakuu na marais lakini yapo hoi kuliko Hai, mfano hai bagamoyo na Mtera , tumia nauli kidogo kufika huko ukirudi utamkubali braza Mbowe.
Peoplezzzzzz!!
 
Inawezekana ukawa mwanachama hai lakini hutambui nini anachotakiwa kukifanya Mh. Mbowe.

Hao halmashauri ni sisi wananchi wa kuzungumza nao au Mh Mbowe kukaa na sisi kwa pamoja na kufikia muafaka?

Majibu uanayoyatoa hapa mtandaoni yanatakiwa yatolewe kwa wapiga kura ndani ya vikao vya chama.

Acha kurahisisha mambo wewe!
 
watu wa ajabu sana nyie?? njaa za lumumba ni shidatu! kumbe umetumwa na ccm kwa maelezo yako hapo chini, mbona husemi kama serikali ya ccm haijajenga barabara ikulu nilazima ichukuliwe na CDM???
This is very true, nikiwa kama mwanakijiji kimojawapo tajwa hapo kwenye mada, ni kweli mimi ni CHADEMA ila katika historia ya Hai, huwa hatuna desturi ya kuchagua chama, tunchagua mtu hatukumchagua Freeman kwa sababu ni chadema ila tuliona anaweza kutuletea maendeleo, ni kweli tuna maendeleo ambayo nayo pia aliyakuta. Mh mbowe tunakuomba lete maendeleo kama hapo kwa jirani zetu kibosho, daraja la weruweru hapo lyamungo ni shida, lyamungo sinde barabara ni shida, narumu ni shida, kilanya ni shida afadhali na hapo kwako Mfoni, mh mbowe kiukweli tu mwaka kesho tutamsimamisha mbunge wa CCM kwa nia njema tu ya maendeleo, jimbo la Hai halina mwenyewe wala chama, kumbuka 2000 chadema, ,2005 CCM, 2010 CHADEMA na naamini 2015 ni CCM hatutaki siasa tunataka kazi, sehemu ya lyamungo hujawai fika toka uwe mbunge..!! Huu ni utani mh. Utaumbuka mwaka kesho sijaona atakaye kupa kura.
 
Inawezekana ukawa mwanachama hai lakini hutambui nini anachotakiwa kukifanya Mh. Mbowe.

Hao halmashauri ni sisi wananchi wa kuzungumza nao au Mh Mbowe kukaa na sisi kwa pamoja na kufikia muafaka?

Majibu uanayoyatoa hapa mtandaoni yanatakiwa yatolewe kwa wapiga kura ndani ya vikao vya chama.

Acha kurahisisha mambo wewe!

Huo ndio ukweli mchungu, sema nyie wa kutumwa ndio mnashindwa kuchanganya na zenu. By then Miaka mitano Fuya alifanya nini cha maana ? Hata mchango wa maneno tu hakua nao zaidi ta kwenda kupiga meza mjengoni??
Barabara ya masama wameioverschedule huku rais na waziri wa ujenzi wakiona hayo madudu na kuyaridhia??
Jimbo la Hai litaendelea kua mali ya kudumu ya upinzani no matter atakua Mbowe au mwingine yeyote, maana sisiemu hawana nia ya dhati ya kubadilisha maisha ya wananchi.
 
Mkuu simpigii mtu debe hapa, amini hivyo.

Mwakani hatutachagua chama, bali tutamchagua mtu!
 
Huo ndio ukweli mchungu, sema nyie wa kutumwa ndio mnashindwa kuchanganya na zenu. By then Miaka mitano Fuya alifanya nini cha maana ? Hata mchango wa maneno tu hakua nao zaidi ta kwenda kupiga meza mjengoni??
Barabara ya masama wameioverschedule huku rais na waziri wa ujenzi wakiona hayo madudu na kuyaridhia??
Jimbo la Hai litaendelea kua mali ya kudumu ya upinzani no matter atakua Mbowe au mwingine yeyote, maana sisiemu hawana nia ya dhati ya kubadilisha maisha ya wananchi.

Hayo maamuzi uliyoyatoa wewe ni sisi wapiga kura tunatakiwa tuyatoe.

Relax.
 
Hili ulilo lisema nilakweli barabara ya Narumu mpaka kwa Dr.Mengi n mbovu tofauti na upande wa pili wa kibosho road. Daraja la weruweru nalo bovu n nguvu za wananchi zinatumika pasipo mchango wa mbunge. FM nguvu nyingi kaelekeza katika chama na kusahau jimbo lake, wananchi wanaelekea kukata tamaa na asipo badilika mwakani ataambulia patupu maana wananchi wa Hai hawaangali chama bali maendeleo ndio maana wanachagua wabunhe wa vyama vyote.
 
Pole sana mkuu, huyu ndiye mbunge wetu wa HAI anayetegemea tumrudishe tena Dodoma 2015!
 
..... Kuna Dada Anafanyakazi Huko Hai Jimboni Kwa Mbowe, Nilikuwa Nazungumza Naye Siasa Akanambia Kuwa Yeye Kwenye Siasa Hawezi Akamwamini Mtu, Akatolea Mfano Mbowe Kwamba Ukimuona Anaongea Utadhani Ni Mchapakazi Kwelikweli, Lakini Jimboni Kwake Hakuna Alichokifanya Na Watu Wanalalamika Sana.. Imeniuma Sana, Naomba Watu Wa Hai Na Wanaolijua Jimbo La Mbowe Watujuze Tafadhari .!
 
Mama yako atakuwa ndio kafanya basi au unasemaje. Huyo mdada anakutakq kimapenzi wewe unamletea story za kisiasa ndio maana kakupotezea... Ameona umekaa kish'ga kiaina. Subiri upate maelezo mengine kama haya yakwangu hayakutoshi.
 
Story na demu wake vichochoroni ndio anatuletea sisi.
 
.... Duuuh, Wadau Mi Sikuwa Na Nia Mbaya Na Post Yangu, Nataka Nipate Majibu Ili Viongozi Wangu Wa Chama Wanaposhambuliwa Kama Hivi Nipate Cha Kusema.
 
Samahani ila wajingaaa kama hawa kina mahoro, ndo shida hapa TZ, kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake, kila msimu wa bunge MBOWE yuko bungeni unataka nini zaidi ya wajibu huo wa mbunge??? Kazi ya kutekeleza sera za maendeleo za wilaya ziko kwa DC & DED, yeye ni kuwakilisha wananchi inapohitajika. HILI LA WAJINGA KUTAKA MBUNGE NDO ATENGENEZE BARARABA< SHULE, ZAHANATI, Atoe hela za misiba, madawati na hela za maendeleo ndo CHANZO CHA WIZI na ESCROW, EPA etc.

TUweni makini kama tunadhani tunamchango kwa wananchi, kuwapoteza kwa hoja za kijinga hakuna tija. kama umesoma na unaelewa, basi utakuwa unajua ukweli kuhusu kazi za mbunge. KUDANGANYA WATU ETI MBUNGE ATAJENGA BARABARA NI ujinga pia
 
Back
Top Bottom