This is very true, nikiwa kama mwanakijiji kimojawapo tajwa hapo kwenye mada, ni kweli mimi ni CHADEMA ila katika historia ya Hai, huwa hatuna desturi ya kuchagua chama, tunchagua mtu hatukumchagua Freeman kwa sababu ni chadema ila tuliona anaweza kutuletea maendeleo, ni kweli tuna maendeleo ambayo nayo pia aliyakuta. Mh mbowe tunakuomba lete maendeleo kama hapo kwa jirani zetu kibosho, daraja la weruweru hapo lyamungo ni shida, lyamungo sinde barabara ni shida, narumu ni shida, kilanya ni shida afadhali na hapo kwako Mfoni, mh mbowe kiukweli tu mwaka kesho tutamsimamisha mbunge wa CCM kwa nia njema tu ya maendeleo, jimbo la Hai halina mwenyewe wala chama, kumbuka 2000 chadema, ,2005 CCM, 2010 CHADEMA na naamini 2015 ni CCM hatutaki siasa tunataka kazi, sehemu ya lyamungo hujawai fika toka uwe mbunge..!! Huu ni utani mh. Utaumbuka mwaka kesho sijaona atakaye kupa kura.