Re: Acha

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
1. Acha tabia ya kujamba katikati ya watu alafu unakuwa wa kwanza kuzuga "nasikia kama harufu mbaya hivi..."
2. Acha tabia ya kujifanya we ni shabiki wa Barcelona ili mwisho wa game utoke kifua mbele huku deep inside unawaombea mabaya.
3. Acha tabia ya kukopa kwa sound za mwisho wa mwezi ntaclear.
4. Acha mtindo wa kugeuka kuangalia kila demu mwenye makubwa masaburi anapopita.
5. Acha tabia ya kugonga watoto wa chuo wakat umeshaoa.. hakuna aliyekutuma kuoa ukiwa janki.
6. Acha tabia ya kuita wenzako wazee..
7. Acha tabia ya kumponda mkuu wa kaya kila kukicha, give him a break..
8. Acha tabia ya kusema neno ms*enge mara kwa mara..
9. Acha tabia ya kulaumu TANESCO kila umeme ukatikapo..
10. Acha tabia ya kupitia thread za watu bila kucha post..

Wanajamii tuendelee hapo..
 
Acha tabia ya kuangalia picha za XXXX halafu baadae unatumia sabuni
 
11.Acha kutongoza akina dada/kaka eti nita kuoa/kuoana.
 
acha tabia ya kuomba namba za cm kwa kila mwanamke unaemuona! acha tabia ya kujisifia kaka angu ana hela
 
Kumbe Wambuzi ndio........(kuna mtu kaikopi na kuipesti kama ilivyo fb). Taratibu real id zinaanza kujulikana!
 
Duh.. Hio kitu pia nimeiona FB, imewekwa na jamaa initials zake ni A.F.M yaan hizi thread zingekuwa na haki miliki sasa hivi ningekuwa nimeshajipatia hela ya bia za weekend
 
Back
Top Bottom