Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
ndio ushachangia.Nalog offDuh, hiyo ya kumi imenisuta...
ndio ushachangia.Nalog offDuh, hiyo ya kumi imenisuta...
ndio nani mbona bado umeendelea kuficha? Nalog offKumbe Wambuzi ndio........(kuna mtu kaikopi na kuipesti kama ilivyo fb). Taratibu real id zinaanza kujulikana!
1. Acha tabia ya kutingisa dushelele baada ya kukojoa, hii kwa wanaume
2. Acha tabia yakupachika vibinti vidogo mimba na kusepa
3. Acha kulaumu maisha magumu wakati wazazi walikupeleka shule ukajiona mjanja ukawa unatoroka
4. Hii ni kwa mabint acheni kudanganya umri mtu unamuuliza una miaka mingapi anasema 21 kumbe ni 27. Nitarudi baadae
Hio ya dushelele ni kiboko Mr. Nitonye..
Acha tabia ya kula kitimoto vichochoron wakat dini yako inakataza
1. Acha tabia ya kujamba katikati ya watu alafu unakuwa wa kwanza kuzuga "nasikia kama harufu mbaya hivi..."
2. Acha tabia ya kujifanya we ni shabiki wa Barcelona ili mwisho wa game utoke kifua mbele huku deep inside unawaombea mabaya.
3. Acha tabia ya kukopa kwa sound za mwisho wa mwezi ntaclear.
4. Acha mtindo wa kugeuka kuangalia kila demu mwenye makubwa masaburi anapopita.
5. Acha tabia ya kugonga watoto wa chuo wakat umeshaoa.. hakuna aliyekutuma kuoa ukiwa janki.
6. Acha tabia ya kuita wenzako wazee..
7. Acha tabia ya kumponda mkuu wa kaya kila kukicha, give him a break..
8. Acha tabia ya kusema neno ms*enge mara kwa mara..
9. Acha tabia ya kulaumu TANESCO kila umeme ukatikapo..
10. Acha tabia ya kupitia thread za watu bila kucha post..
Wanajamii tuendelee hapo..
Atakuwa nae kacopy huko FB au sehemu sehemu zingine