Sio kwmba mi huwa nafanya zote hizo... Mzee.. Bwana Ringo n wewe acha kusifia kabila lako kwamba ni boraa zaidi ya wengine
Mimi jokes nyingi tu huwa nadizaini mwenyewe lakini mara nyingi tu nazikuta FB yaani hawaachi hata nukta.Hapana... Hii kitu nimeidizain mwenyewe yaan mwanzo mwisho.. Mwenyewe nilivoiona kule FB nikasema duh..
Mimi jokes nyingi tu huwa nadizaini mwenyewe lakini mara nyingi tu nazikuta FB yaani hawaachi hata nukta.
True dat.. Yaan kuna raia wanahamisha nzimanzima kama zilivyo.. Lack of ubunifu huo.. Ila Jaguar nakukubal sana we mwana ni noumer
kwanin mnakuwa watu wa kuangalia kwa jcho baya?badala ya kuwa happy k2 ulchoandka m2 mwngne kakpenda na kaenda kushare we unalalamika,roho ''nzuri'' alaf uktaka wascopy go n get a copyright 4 yo lame jokes....sio wote wanakazi ya kukaa chin na kufikilia ntoe k2 gan ili nkapost Jf,kukosa kazi huko..#just sayng,notng personal

Acha tabia ya kulalamika lalamika kama mwanamke
We ndio Mr. AFM kule facebook, punguzaa jazba na kuponda kazi ya mikono yetu.. Eti "lame".... Shatapu wewe... Nani kasema ni dhambi kucopy
Umeona eenh???