Re: Acha

Re: Acha

7. Acha tabia ya kumponda mkuu wa kaya kila kukicha, give him a break..
Sasa Bei ya umeme imepanda kwa 40% unategemea tumsifie huyo baba yako?????
Acha kuleta thread za maneno km haya wakati tuko ktk wakati mgumu wa kuongozwa na empty minded person.
 
Sasa Bei ya umeme imepanda kwa 40% unategemea tumsifie huyo baba yako?????
Acha kuleta thread za maneno km haya wakati tuko ktk wakati mgumu wa kuongozwa na empty minded person.

Samahani mkuu... Kama nakuona hivi ulivochukia.. Ila kiukwel suala la kupanda umeme limetugusaa wengi.

NB: But hii thread imewekwa b4 that
 
11.Acha kujifanya we mkurugenzi halafu ukiombwa 500/= tu unaanza kuzuga..
 
Acha tabia ya kupitisha bajeti mbovu kishabiki ukiwa unafahamu kabisa anaeumia zaidi ni mtanzania wa kawaida
 
Acha tabia ya kufanya mambo kigaidi kwa kisingizio cha kuukataa muungano!
 
Acha tabia ya kulazimisha watu kuchangia thread zako wakati wewe huchangii za kwao.
 
Acha tabia ya kuangalia salio kila baada ya kumaliza kupiga simu.
 
hii namba 2 umewapa za uso mamluki wa barcelona, wananikera hawa watu, sijui kwa nini hawakubali kuwa barca the catalan ndo waume zao kwenye soka. "More than club"
 
acha kujidai na kujifanya we matawi wakati we ni mwanadamu kiumbe DHAIFU kabisa.

Acha dharau maisha duniani hapa ni sawa na kupumzika kivulini chini ya mti!
 
hiyo ya 5 imewakuna wote wanazungukia maeneo ya chuo kutafuta watoto warembo wkt walishaoa..,Acha tabia ya kuuza sura wkt sura yenyewe nzito.
 
Acha tabia ya kuwa na account zaidi ya moja JF
 
Back
Top Bottom