RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

Kimsingi kuna taratibu za kuonywa kwa maandishi na karipio kali. On the spot unamuweka ndani dah.siyo haki
 
Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.

Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Kwahiyo viongozi wa wizara ya afya wali teuwa DMO asiyekuwa na akili?
 
Nani anastahili kutangaza hali ya hatari katika eneo lenye mlipuko Wa Ugonjwa ,Baa LA Njaa,Mgogoro mkubwa baina ya Jamii nk?
Rc alitakiwa achukue takwimu kutoka katika hospital na vituo vya afya ili aone uwepo na ukubwa wa tatizo ,Hii Nazi ya kutangaza ni yake kama mwenyekiti Wa ulinzi na usalama Wa RAIA katika Eneo husika.Huu ni uoga unamsumbua huyu bibi,
Asitake kukaimisha majukumu yake kibabe kisa tu madaktari ni wapole,ni watu muhimu sana kuheshimu wataalamu wetu .Kama kuna ongezeko LA akili aliyakiwa awepo huko kwa mwaka mzima ili azichote kwanza yeye.Hana adabu ya utawala huyu bibi
 
Huyu kalewa madaraka
Kibri cha madaraka.Anasahau kwamba kuna siku atakuwa raia wa kawaida na kwamba bado anahitaji madaktari,kama si leo basi ni kesho.
Sidhani kama waziri alipokemea hili la kuwatia ndani wahudumu wa afya kiholela allikuwa hajui atendalo,kwa haraka haraka waziri wa afya ametenda kwa weledi zaidi.
 
Kwa hiyo hapo rumande alimlipia na tuition fee kabisa?? Ma RC wa awamu hii vituko tupu!
 
Na wewe jiandae kutumbuliwa, mambo zamu kwa zamu.
 
Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
Nikung'olewa meno yote ya nyuma.
 
Kibri cha madaraka.Anasahau kwamba kuna siku atakuwa raia wa kawaida na kwamba bado anahitaji madaktari,kama si leo basi ni kesho.
Sidhani kama waziri alipokemea hili la kuwatia ndani wahudumu wa afya kiholela allikuwa hajui atendalo,kwa haraka haraka waziri wa afya ametenda kwa weledi zaidi.
Kuna siku ataumwa... alaf madaktar watamgomea.. ndio atajua umuhim wao. Tatizo la Rc na ma DC Wa sasa wanafanya kazi kishabiki. Wanataka waonekane...
 
Sheria zetu bado ni za kikoloni japo kuwa tunajidai kuwa huru kwa miaka mingi. Hivi huu ujinga wa watanzania kuwa na nguvu ya kuwaweka watanzania wengine ndani bila makosa ya msingi bali utashi wa watawala hii kitu gani. Bora wakoloni walikuwa wanajihami dhidi ya weusi ambao kimsingi kutokana na kuwatawala kimabavu walikuwa maadui. Sasa watwambie uadui wetu na hawa watawala ni upi mpaka wawe na sheria za kujihami kama hizo za kuweka ndani weusi wenzao. Uhuru wa kweli bado sana.
Sheria iko vizuri isipokuwa inatafsiriwa na kutumika vibaya na hasa na ma -RC, DC katika serikali ya awamu hii ya 5. Mambo haya ya kuwaweka mahabusu hovyo watendaji wa serikali hayakuwa hivi awamu zilizotangulia na sheria ni zile zile nafikiri hali hii pia inachangiwa na JPM kufuta semina elekezi kwa wateule wake.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Hajui hilo yule Mama Mpuuzi sanaa!! U Jane wake unamletea shida!!! Atafute mtu awe anamsaidiaa kupunguza..........maana sasa zinamzidi na kumpelekesha
Madaktari wanahitajika sana Kenya, Uganda, South Sudan, Angola Namibia Boswana Swaziland Canada USA lakini mkuu wa mkoa ni hapa tu!
 
Sheria zetu bado ni za kikoloni japo kuwa tunajidai kuwa huru kwa miaka mingi. Hivi huu ujinga wa watanzania kuwa na nguvu ya kuwaweka watanzania wengine ndani bila makosa ya msingi bali utashi wa watawala hii kitu gani. Bora wakoloni walikuwa wanajihami dhidi ya weusi ambao kimsingi kutokana na kuwatawala kimabavu walikuwa maadui. Sasa watwambie uadui wetu na hawa watawala ni upi mpaka wawe na sheria za kujihami kama hizo za kuweka ndani weusi wenzao. Uhuru wa kweli bado sana.
aysee yaan sipati jibu!!...yaan km ndio mie nikitoka huko nitamsaka tu, hata uzeen then nampa vyake
 
Majibu ya mlevi wa madaraka! Pamoja na mkwara wa Waziri kuwa Ma-RC/DC wasiwaweke ndani watumishi wa afya, haitasaidia lolote kwa sababu sheria inayowaruhusu kuweka ndani watu kwa muda wa masaa 48 bado ipo na itaendelea kutumiwa vibaya!
Sheria imefafanua vizuri na ipo hata wakati wa serikali za awamu zilizotangulia na mambo hayakuwa hivi, tatizo lingine ni JPM kuteua watendaji wake na kuwaingiza kazini bila semina elekezi alizozifuta ili kubana matumizi.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Wamezoea hadi kujichanganya. Ukiongea na vyombo vya habari bila ruksa ya DC, unawekwa ndani. Sasa sijui lipi sasa ni sahihi. Hivi siku za nyuma hatukuwa na DCs na RCs, au hawa wameshushwa toka mbinguni!
 
Hata ukichukua miaka 10.lakini ukiwa mzembe na mla rushwa hufai
Shule ni shule tu, kama huna shule kwa kazi za taaluma, wee ni bure tu, na hapa unatuimbisha kwaya tu! Nyie wenyewe mmediriki kusema RC hahitaji cheti chochote kuteuliwa, ndiyo maana tunashuhudia maamuzi ya ajabu ajabu!
 
Back
Top Bottom