Hao unaowaongelea wote ni madaktari rehema ni DR na aliyewekwa ndani ni DR , hafu kuna vitu vingine huwa mnatetea ni vya kijinga daktari kasababisha vifo vya watu wawili yeye kaweka ndani masaa matatu analalama ....na waliokufa watakaa makaburini miaka mingapi....? fikiri weweMpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Dr wa historia na DR OF MEDICINE wote ni ma Dr hakikaHao unaowaongelea wote ni madaktari rehema ni DR na aliyewekwa ndani ni DR , hafu kuna vitu vingine huwa mnatetea ni vya kijinga daktari kasababisha vifo vya watu wawili yeye kaweka ndani masaa matatu analalama ....na waliokufa watakaa makaburini miaka mingapi....? fikiri wewe
Hivi hata kama angetangaza hao wawili wangefufuka?nHao unaowaongelea wote ni madaktari rehema ni DR na aliyewekwa ndani ni DR , hafu kuna vitu vingine huwa mnatetea ni vya kijinga daktari kasababisha vifo vya watu wawili yeye kaweka ndani masaa matatu analalama ....na waliokufa watakaa makaburini miaka mingapi....? fikiri wewe
hoja ni hiyo tu uliyoona kwani hauafahamu kuwa kusomea udakitari wa medicine si kuwa na akili kama ulivyodai hapo awali bali unakuwa na akili ya dawa tu au haujuiDr wa historia na DR OF MEDICINE wote ni ma Dr hakika
unakichwa kibovu sana weweHivi hata kama angetangaza hao wawili wangefufuka?n
Ubovu wake nini ukweli ndo huo mlipuko umetokea je mlimuuliza jitihada gani amefanya zaidi ya kutangaza ?unakichwa kibovu sana wewe
Kuwa mkuu wa mk@ we foji vyet tu!Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Kwa namna moja ama nyingine wana waangusha walio waamini sikuona sababu ya kuzungumza kwani jambo lilishapitaHapo ndipo nawashangaa wanawake wanaomba haki sawa waaminiwe kwenye madaraka matokeo yake mikurupuko naona mwendelezo wa yule dc wa njombe kumpiga kibao diwani unaendelea ngoja muwekwe benchi sijui mtaficha wapi hizo sura
kwa cheo chake hata kuulizwa haulizwi bali ni taarifa amabazo anapaswa kuziwakilisha kitu amabacho hakufanyaUbovu wake nini ukweli ndo huo mlipuko umetokea je mlimuuliza jitihada gani amefanya zaidi ya kutangaza ?
Duuuuh!Mtu mwenyewe ndo huyu. Sura nguuumu? Uchawi unamhusu huyu, siyo bure
Kwa kweli sijakuelewa hata kidogo!Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
anapewa flajiri halafu anawekewa dripu ya konyagi...Huyo Rehema nchimbi ana wenge na kuweweseka! Jinamizi la yule DR bado analo! Pia ana wenge la kutofanya vizuri hapo Singida......ikitokea reshaffle ya ma RC basi ujue Rehema hatakuwemo! Then akiaj mtaan siku isiyo na jina ataenda hospital kutibiwa yeye au familia yake atakutana na yule Dr......sijui nini kitatokea!!
upuuzi. Lakini madaraka haya wameyapata wapi? Maana miaka yote tulikuwa nayo sherihiyo ya MaRC lakini hatukuona ujinga huu wa kuweka wataalamu na watendaji ndani bila sababu za msingi. Nafikiri tuanzie hapo ili kuweza kujua na kutatua tatizo. Kauli ya Waziri wa afya tu haitatatua tatizo hili. Huyu atajilinganishaje na Daktari siyo katika elimu tu hata na akili na pia hekima...Mkuu wa mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi amedai alimueka ndani DMO ili apate akili baada kushindwa kutangaza mlipuko wa Kipindupindu japo amedai kuwa alimsikia DMO huyo akilalamika alikuwa hana jinsi ya kumfanya ila ilikuwa ni kumweka mahabusu hali uliopelekea DMO huyo kujiuzulu.
Kauli hii aliitoa jana wakati ni juzi tu Waziri Ummy kapiga marufuku wakuu wa Mikoa na Wilaya kuweka wataalam wa afya na madaktari ndani sasa sijui ni kutunishiana misuli au?
Ficha ujinga wako rc.angekuwa hana akili angeshaua wagonjwa wengi sana. Kabla hajafikia nafasi ya dmo tayari ameshapambana sana na wagonjwa hata na changamoto nyingi. Wewe nafasi uliyopewa kwa fadhila au baada ya ....... Unajiona una akili zaidi ya anayetumia taaluma yake. Au unadhani udaktari wake ni wa kumpanulia mtu mi.... aingize.wewe na daud ni wale wale.udaktari siyo maneno ni vitendo. Shame on you