Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
licha ya vurugu na patashika iliyotokea leo na inayoendelea katika viunga mbalimbali vya mji wa mtwara, mkuu wa mkoa huo bw.joseph simbakalia amezungumza na wapo radio jioni ya leo akisema kwamba kwa siku nzima ya leo mtwara hali ilikuwa,
shwari kabisa na changamoto zilizotokea ni za kawaida tu.
Source: Wapo radio.
huu ndiyo ujinga wa serikali yetu.
Sasa huyu rc bado anajua kuna watu wa kudanganywa leo hii?
tatizo ni hapo kwenye red kaka.