Waongo utawajua jinsi wanavyojicanganya. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mtwara, Edward Gontako amethibitisha kutokea ajali iliyoua askari wanne wa JWTZ, 41KJ Nachingwea na askari wengine 20 kujeruhiwa wakati wakielekea Mtwara ili kusaidia kutuliza vurugu hizo.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Ligula, Dk Mohamed Kodi amethibitisha kupokea maiti moja na kuomba apewe muda kutaja idadi ya majeruhi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Linus Sinzumwa anadai hakuna mtu aliyefariki dunia wala majeruhi.
Nae Mkuu wa Mkoa Bw.Joseph Simbakalia anadaiwa kusema siku nzima ya jana Mtwara hali ilikuwa shwari kabisa.
Hawa wote wako Mtwara na wanatakiwa wafanye kazi ka timu moja.
Full kujichanganya.