RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

Muda huu ninapoandika ndege kubwa ya jeshi inatua hapa Mtwara; je ndiyo hali shwari hiyo wanayosema viongozi wetu au tuwaeleweje? sijui kwa nini uongo ndiyo umekuwa staili yetu; hata chanzo cha vurugu kinapotoshwa na hata baadhi ya wabunge wetu hawaelewi wanachochangia masikini...Ninashauri wabunge wote wangepata muda wa siku tatu kuwepo hapa Mtwara na kuongea mitaani na watu mbalimbali nafikiri hapo stori ingekuwa nyingine na wangeacha kuchangia michango isiyo na tija kwa taifa kama waitoayo sasa. Tusitafute mchawi..mchawi ni maamuzi yetu yasiyozingatia hali halisi ya wananchi wetu.
 
Kwa hiyo wewe ccm umeona alichosema hapo ni redio wapo kushika mtwara tuu!kwa nini usiulize kaam ni kweli mkuu wa mkoa kaongea hivyo..au na wewe unaunga mkono kuwa hakuna jipya..huyu rc keshapagawa na kwa kauli yake hii cha moto atakiona...iwe leo iwe kesho mi nawajua watu wa mtwara huwezi kuwachezea afu unasema eti ni kawaida..ni kawaida kuwapiga watu kweli??pumbavu wewe
radio wapo inashika mtwara? Acha ubabaishaji
 
Radio wapo inashika Mtwara? Acha ubabaishaji
We kweli zuzu. Ulitaka ahojiwe na RAdio inayoshika Mtwara tu? Kwa hiyo hata angehojiwa na BBC ungepinga kwa sababu haishiki Mtwarw?? Hivi matokeo yako ya form four yamesharudiwa kusahihiashwa au unapoteza tu muda huku JF?
 
Kwani ukitaka kusikiliza Redio Wapo lazima uwe Ntwara? Mimi nilisikia maneno hayo nkiwa barabarani natoka Moro! Nshikaji amenukuu tu!
 
"
quote_icon.png
By Mzito Kabwela

Radio wapo inashika Ntwara Acha ubabaishaji"

Magamba hawajifichi hata miandiko yao humu utaiona tu, imelalia kushoto hati ya kike, Ninyi mnang'ang'ana Dar ndo TZ, Mwenzio yuko Mikindani anatafuta fursa we unakula kulala na "Wapo inasikika Dar tu." Simbakapakatwa alihojiwa kwa simu Kwa taarifa yako ni moja ya vyombo vya kwanza kwanza kusema ukweli wa hali.
 
Me nahisi huyo rc anajifungia ndani tu kwaiyo hajui yanayoendelea nje
 
Nasikia serikali ya ccm imeshauriwa imtoe mtwara kwa sababu ya ukatoliki wake!! Ccm kweli janga kwa taifa letu!
 
Mnaouliza kuhusu covarage ya Wapo Redio acheni ushamba huu ni wakati wa digitali mlikuwa mnaikimbilia na kuishabikia kumbe hamuijui mimi niko Ngorongoro naipata Wapo redio online kupitia kwenye simu yangu hata mimi niliyasikia hayo mahojiano kati ya Rc Simbakalia na Mtangazaji wa wapo redio,pia redio zote zilizopo online ulimwenguni nazipata amka huu ni wakati wa digitali.
 
Back
Top Bottom