RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

NYADOGI

Senior Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
132
Reaction score
24
Wana JF kwa sasa nipo katika hoteli ya OLd BOMA nashuhudia hali ilivyo hapa mikindani, eneo limezungukwa na askali na hakuna uwezekano wa kwenda mjini wala kwenda LIndi baada ya daraja la hapa mikindani kulipuliwa na watu wasiojulikana.

Hata hivyo kwa mshangao mkubwa au kwakutojua kinachoendelea mtwara, mh. Simbakali amesikika akikanusha kuwa hakuna jambo jipwa yote nayotokea hapa ni yakawaida" wewe mwandishi unaonekana huna masikio, nakwambia hakuna kitu kilichotokea cha ajabu hapa, watu wachache walijaribu kulet VURUGU LAKINI TUMEWADHIBITI, hakuna kifo wala nyumba iliyohariiwa, watu wanaendelea na shughuli zao nkama kawaida, mpigie mtu yeyote wa mtwara atakwambia" kwa maneo hayo nimeshituka sana kwani hali ni mbaya kuliko kawaida na yeye anasema hakuna jipya, inwezekana siyeye anayezungumza bali kachanganyikiwa na hali hiyo.

Wana JF, hebu tuchangie hasa kwa wale wanaomfahamu mkuu huyu

Source: RADIO WAPO NA MM MWENYEWE NIYEPO MIKINDANI MUDA HUU
Licha ya vurugu na patashika iliyotokea leo na inayoendelea katika viunga mbalimbali vya mji wa Mtwara, Mkuu wa Mkoa huo Bw.Joseph Simbakalia amezungumza na Wapo Radio jioni ya leo akisema kwamba kwa siku nzima ya leo Mtwara hali ilikuwa, shwari kabisa na changamoto zilizotokea ni za kawaida tu.

SOURCE: Wapo Radio
 
hebu anayejua anijuze neno simbakalia maana yake nn?
 
Hao ndio wateule wa JK...
Jaribu tu kujiuliza kama jambo dhahiri kama hilo anakanusha, je yale ambayo hatuyafahamu si ndio Watanzania sisi tunadanganywa!
 
Anasema hakuna watu waliokufa?
Labda wataenda kula maiti ya watu
 
Nashindwa kujua promotion policy ya majeshi yetu. Otherwise how would the likes of Kikwete and Simbakalia be promoted to half-colonecy and full colonecy????
 
among smart people i met him at AED and his paper was super... its a pity that this came from him wrong person at the wrong place and the wrong time.....he can do better than this.....
 
Baba mwongo unategemea nini kutoka kwa watoto?
 
Inawezekana anajua kwa hakika anachozungumza....! Pengine kama mwakilishi wa RAIS katika mkoa anajua kwamba haya yanayotukia yalipangwa na serikali anayoiwakilisha na yanakwenda kama yalivyopangwa ndio maana hakuna jipya hapo.

Tusimjadili yeye bali tujadili maana na mantiki aliyayasema kwa umma (maana kama aliyazungumza na chombo cha habari, ni wazi amezungumza na umma). Tutakumbuka matamshi ya Mh. Chenge wakati ule kwamba zile hela ni vijisenti tu, halafu eti akajitetea yeye ni Mnyantuzu ajuwi vema kiswahili, wapi?? Alikuwa na maana; na maana yake ni kwamba aidha "...... mnazungumzia hizi, hizi ni vijisenti tu; hivi mkijua na zilizo katika akaunti nyingine ambayo hamuijuwi, mtasemaje?!" au "...... mnazungumzia hizi, hizi ni vijisenti tu; hivi mkijua wenzangu/wakubwa zangu walipata mgao kiasi gani mtasemaje?!"

Hapa ndipo tulipofikia na aina ya viongozi wetu tulio nao katika karne hii.
 
loh usikute kweli mkuu wa mkoa ashachanganyikiwa
 
Wana JF kwa sasa nipo katika hoteli ya OLd BOMA nashuhudia hali ilivyo hapa mikindani, eneo limezungukwa na askali na hakuna uwezekano wa kwenda mjini wala kwenda LIndi baada ya daraja la hapa mikindani kulipuliwa na watu wasiojulikana. Hat hivyo kwa mshangao mkubwa au kwakutojua kinachoendelea mtwara, mh. Simbakali amesikika akikanusha kuwa hakuna jambo jipwa yote nayotokea hapa ni yakawaida" wewe mwandishi unaonekana huna masikio, nakwambia hakuna kitu kilichotokea cha ajabu hapa, watu wachache walijaribu kulet VURUGU LAKINI TUMEWADHIBITI, hakuna kifo wala nyumba iliyohariiwa, watu wanaendelea na shughuli zao nkama kawaida, mpigie mtu yeyote wa mtwara atakwambia" kwa maneo hayo nimeshituka sana kwani hali ni mbaya kuliko kawaida na yeye anasema hakuna jipya, inwezekana siyeye anayezungumza bali kachanganyikiwa na hali hiyo. wana JF heu tuchangie hasa kwa wale wanaomfahamu mkuu huyu




source. RADIO WAPO NA MM MWENYEWE NIYEPO MIKINDANI MUDA HUU🙂

Radio wapo inashika Mtwara? Acha ubabaishaji
 
sasa bunge limeahirishwa kwa nini kama mtwara ni shwari kwa maelezo ya mkuu wa mkoa?
 
Inawezekana anajua kwa hakika anachozungumza....! Pengine kama mwakilishi wa RAIS katika mkoa anajua kwamba haya yanayotukia yalipangwa na serikali anayoiwakilisha na yanakwenda kama yalivyopangwa ndio maana hakuna jipya hapo.

Tusimjadili yeye bali tujadili maana na mantiki aliyayasema kwa umma (maana kama aliyazungumza na chombo cha habari, ni wazi amezungumza na umma). Tutakumbuka matamshi ya Mh. Chenge wakati ule kwamba zile hela ni vijisenti tu, halafu eti akajitetea yeye ni Mnyantuzu ajuwi vema kiswahili, wapi?? Alikuwa na maana; na maana yake ni kwamba aidha "...... mnazungumzia hizi, hizi ni vijisenti tu; hivi mkijua na zilizo katika akaunti nyingine ambayo hamuijuwi, mtasemaje?!" au "...... mnazungumzia hizi, hizi ni vijisenti tu; hivi mkijua wenzangu/wakubwa zangu walipata mgao kiasi gani mtasemaje?!"

Hapa ndipo tulipofikia na aina ya viongozi wetu tulio nao katika karne hii.

Mkumba vana mwamba wa mauti hicho kitabu nakihitaji
 
uNAONEONEKANA NI WALEWALE, KWA TAARIFA YAKO WANAMTWARA WANATUMIA SATELITE NDIYO MAANA HATA BAADA YA TBC KUKATA MAWASILIANO WANANCHI WALIENDELEA KUPATA TAARFA KAMA KAWAIDA. CHEZEA MTWARA WEWE, HILOOOOOOOOO
 
Unakumbuka yule msemaji wa Iraki alipokua anaambiwa wanajeshi wa marekani wapo airport, akawa anabisha na kusema wakikanyaga mto Tikrit basi hapo ndo patakua makaburi yao. Akaonyeshwa video wamevuka, akawa anabisha kabisa.
 
Hata ungekuwa wewe huo ni mkoa wako usingechanganyikiwa? Hii haihitaji ushirikina, ulozi au uchawi bali hali halisi
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Kijana hizo ni kelele za chura tu wala haziwezi kuzuia Tembo kunywa maji !
 
Magamba ni manyumbu...tuu hawana kumbukumbu..Hata mulongo alisema kule arusha kuwa lile tukio la bomu halisi ni la kawaida sana.
 
Serikali Sikivu ya CCM inayo Kauli mbiu ya Liwalo na Liwe..Sasa Limekuwa na bado, Kitanuka sehemu nyingi kwani Watawala wamevaa Miwani ya mbao na wanasema ni Upepo tu Utapita. Watu Wakichoka Uzungumza kwa Vitendo na historia inaonyesha hapajawahi kutokea Duniani Nguvu ya Umma ikashindwa na Majeshi ( Mjeshi ya Hussen mbaraka wa Misri tuliona yalivyonyanyua mikono) ....Ngoja Tusubiri tusikie matamko hapo kesho kama kweli bado wameshikilia msimamo wao wa mpango wa Bomba la gesi bila kuwasikiliza Wanamtwara.
 
Back
Top Bottom