RC Mghwira: Misiba mingi Kilimanjaro inatoka maeneo mengine nchini. Si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na Covid 19

Anna Elisha Mghwira anazo hizi taarifa..., Kwa maelezo yake it seems hali ipo poa kabisa Au wewe upo Moshi tofauti na ya kwake ?
 
Kipi Cha ajabu? Watu aanakufa daily
Hii ndio akili ya mtanzania. Umeshindwa hata kuchekecha ubongo na kujiuliza "why this time imekua too much!" Kila bada ya nyumba tatu utasikia msiba, kila ukingia JF tanzia hazishi!

Jambo ambalo hawali halikua kwa idada hii. Hatukatai watu wanadondoka kwa magonjwa mengi tu, chakujiuliza inamaa safari hayo magonjwa ndio yamechachamaa zaidi!?
 
Hii ndio akili ya mtanzania. Umeshindwa hata kuchekecha ubongo na kujiuliza "why this time imekua too much!" Kila bada ya nyumba tatu utasikia msiba, kila ukingia JF tanzia hazishi! Jambo ambalo hawali halikua kwa idada hii. Hatukatai watu wanadondoka kwa magonjwa mengi tu, chakujiuliza inamaa safari hayo magonjwa ndio yamechachamaa zaidi!?
Narudia, kipi Cha ajabu hapo? Kufa? Timing? Maiti?mochwari? Kilimanjaro?
 
Nashauri sasa ni wakati mwafaka waenza HOFU wavalishwe PPE & barakao za chuma kinywani na ndimini mwao
 
Kwani Kilimanjaro imekuwa Republic of Kilimanjaro? watu wengine akili wameziacha nyuma.
 
Hakuna haja ya kutafuta ufafanuzi wala maelezo zaidi kwani hao wanyama wenyewe wanajua wamepigiwa miti wapi na wanazalia wapi? Wao hawajui mambo kenya au tanzania , so, msiumize kichwa
 
Back
Top Bottom