RC Mbeya aagiza Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi kukamatwa na Polisi kufuatia kikao chake na Machinga

Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kusapoti sheria kandamizi wee pumbaffff..
Haujiulizi kwanini kila siku ni wapinzani tu ndio wanyanyasike?
Umeamua kutumia sehemu ya kukalia kufikiri badala ya ubongo..
Jinga weee.
 
Mkuu wa MKOA WA MBEYA(ameagiza MBUNGE wa Mbeya MJINI Ndg. JOSEPH MBILINYI( RAIS wa Mbeya) AKAMATWE na POLISI kufuatia kikao chake na wafanyabiashara ndogox2 waliokuwa wakitoa KILIO kwa Mbunge wao kufuatia KULAZIMISHWA kununua 'VITAMBULISHO' vya Machinga'

Hapo si ndio jimboni kwake? sasa inakuwaje tena?
 
Mkuu wa MKOA WA MBEYA(ameagiza MBUNGE wa Mbeya MJINI Ndg. JOSEPH MBILINYI( RAIS wa Mbeya) AKAMATWE na POLISI kufuatia kikao chake na wafanyabiashara ndogox2 waliokuwa wakitoa KILIO kwa Mbunge wao kufuatia KULAZIMISHWA kununua 'VITAMBULISHO' vya Machinga'

Tutahakikisha tunamng'oa Chalamila Mbeya kama tulivyomng'oa Makalla , huyu ni mkuu wa mkoa duni sana kwa mkoa kama huu
 
Tuna dili na Vitu vya kipuuzi kabisa na kuacha yale Matatizo ya Msingi kama Nchi ,akisha kamatwa na kuwekwa korokoroni ndio nini maana yake sasa!!.Matatizo ya Msingi yalio Zaa Machinga kwa wingi ndio litakuwa limeisha !?
 
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi kutoa kero zao kwa wabunge wao ni kuvunja sheria?
Hii nchi ina watu wa ajabu sana aina yako
 
Nionavyo mimi, hapo sidhani kama Mbunge anastahili lawama: Wananchi wanaona changamoto kwenye mfumo uliopo, wanaamua kwenda kwa muakilishi wao kumueleza changamoto zao ili muwakilishi wao akafikishe changamoto zao kwa wafanya maamuzi ili kupata ufumbuzi. Ufumbuzi ukipatikana ni sifa kwa Serikali.

Kwenye ilo sijaona siasa; Kuna muda fulani hawa wateule wa Mh. Raisi wanaweza kujikuta hawamuwakilishi vyema Raisi wetu kwa kufanya vitendo ambavyo wao huona kama Mheshimiwa atavipenda bila kujua vinamfitinisha Raisi na wananchi wake.

Mtizamo wangu kwenye ili la vitambulisho. Ni jambo jema sana lakini lingafanywa kuwa mchakato (Process) badala ya tukio (event). Na mchakato wake ungeanzia chini kwenda juu na si juu kwenda chini kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom