RC Mbeya aagiza Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi kukamatwa na Polisi kufuatia kikao chake na Machinga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,248
2,000
Mkuu wa MKOA WA MBEYA(ameagiza MBUNGE wa Mbeya MJINI Ndg. JOSEPH MBILINYI( RAIS wa Mbeya) AKAMATWE na POLISI kufuatia kikao chake na wafanyabiashara ndogox2 waliokuwa wakitoa KILIO kwa Mbunge wao kufuatia KULAZIMISHWA kununua 'VITAMBULISHO' vya Machinga'

======

Kamanda wa Polisi Ulrich Matei amethibitisha kumuhoji Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu kwa kukashfu vitambulisho vya Serikali

Imeelezwa kuwa Mbunge huyo ameonekana kulikosoa zoezi la kugawa vitambulisho kwa Wafanyabiashara wadogo kwa kutumia kauli za uchochezi

Kamanda Mtei amesema kauli za Mbunge huyo zilijaa kashfa na kebehi

======
Updates:

SUGU ANYIMWA DHAMANA, KULALA RUMANDE

Mbunge huyo wa Jimbo la Mbeya Mjini aliitwa kuhojiwa na RPC wa Mkoa huo kwa tuhuma za kutoa kauli ya uchochezi

Mbunge huyo anatuhumiwa kwa kutoa kauli ya kuvikashfu vitambulisho vilivyotolewa na Serikali kwa ajili ya Wafanyabiashara
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
6,787
2,000
Kama nia ya Rais ni kuwasaidia wamachinga, kwanini visigawiwe bure hivi vitambulisho?! Msaada gani unanunuliwa?! Ukiondoa wenye kazi serikalini waliobaki wote machinga.
Kwani mbona walikuwa wanafanya vizuri tu hata bila vitambulisho?!
Kama uchumi uko tight, unadhani tungeambwa kuchangia kwa hiari mbona wangepata pesa nyingi zaidi ya hizi wanazopata kwenye vitambulisho?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,082
2,000
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, tatizo chama cha kihuni mambo yao yanaenda kihunihuni tu, kama kavunja sheria asukumwe ndani tu. Kitambulishe atoe raisi pamoja na utaratibu wake yeye anadandia kvp
 
to be

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
235
250

Sasa we ukiangalia ile video utasema mkutano! Unaona kabisa kasimama nje ya ofisi inamaana watu wenyewe wameleta kero zao ofsini ,kutokana na wingi inawezekana ikamlazimu atoke nje kuwasikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
3,021
2,000
Kweli kabisa, tatizo chama cha kihuni mambo yao yanaenda kihunihuni tu, kama kavunja sheria asukumwe ndani tu. Kitambulishe atoe raisi pamoja na utaratibu wake yeye anadandia kvp
Mazungumzo yao uliyasikia?unafahamu huyo mbunge alikua upande wa nani.... Acha kuhukumu watu kwa mtazamo wako.... Nacho elewa hakuna wahuni kama hao unao watetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,802
2,000
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpuuzi
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,339
2,000
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wa upinzani yuko chini ya OCD! Kama ni hivyo OCD atoe hotuba kwa niaba ya mbunge.
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,082
2,000
Mazungumzo yao uliyasikia?unafahamu huyo mbunge alikua upande wa nani.... Acha kuhukumu watu kwa mtazamo wako.... Nacho elewa hakuna wahuni kama hao unao watetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekurupuka ndugu, usipojitafakari utajiingiza kwenye matatizo bure uache familia yako inateseka, Mimi nimesema kama kavunja sheria wamsukume ndani, sasa hapo wewe unapinga nn
 
natoka hapa

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
8,495
2,000
Kama nia ya Rais ni kuwasaidia wamachinga, kwanini visigawiwe bure hivi vitambulisho?! Msaada gani unanunuliwa?! Ukiondoa wenye kazi serikalini waluobaki wote machinga.
Kwani mbona walikuwa wanafanya vizuri tu hata bila vitambulisho?!
Kama uchumi uko tight, unadhani tungeimbwa kuchangia kwa hiari mbona wangepata pesa nyingi zaidi ya hizi wanazopata kwenye vitambulisho?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Makusanyo mkuu
Hakuna kitu kinaitwa serikali kusaidia machinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
275
1,000
Kama nia ya Rais ni kuwasaidia wamachinga, kwanini visigawiwe bure hivi vitambulisho?! Msaada gani unanunuliwa?! Ukiondoa wenye kazi serikalini waluobaki wote machinga.
Kwani mbona walikuwa wanafanya vizuri tu hata bila vitambulisho?!
Kama uchumi uko tight, unadhani tungeimbwa kuchangia kwa hiari mbona wangepata pesa nyingi zaidi ya hizi wanazopata kwenye vitambulisho?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mtoto wa kiume acha kupenda vitu vya bure machinga tunajuana sisi tunaofanya hizi kazi za kimachinga kwa taarifa yako kwa machinga anae jielewa hawezi shindwa kulipia kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,869
2,000
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mama-yo!
To much of everything is harmful, nimeanza kuikumbuka ile Sera ya CUF ya ngangari jino Kwa jino. Ilileta kuheshimiana kule Pemba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisamehe

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
538
500
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huwa mnacomment kwa kutumia busara ipi?
Kama Sugu hakufuata sheria achukuliwe hatua , ila mkuu wa mkoa kama kosa liko kwake apuuzwe. Sheria zimetungwa kunyanyasa wapinzani au wenye mawazo mbadala tu? Umenichefua na kuniharibia asubuhi yangu nzuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom