RC Mbeya aagiza Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi kukamatwa na Polisi kufuatia kikao chake na Machinga

Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofautisha kikao na mkutano
 
Kwanini apuuzwe?Kwanini asiwajibishwe?
 
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kibali au Ulinzi una unachokijua
 
The law does not say OCD rather OCS. Revisit it for understanding
 
Mpaka leo sijawai kuona maana ya Mkuu wa mkoa na Faida yake zaidi ya kulipwa mshahara kupitia kodi za wananchi na kulinda chama tawala hii katiba ya kikoloni sana
 
Wanakorofishana na wafanyabiashara wanategemea Nchi itaendeshwa kwa vitambulisho vya machinga huo ni uhuni tuu...Mkuu angekaa na wafanyabiashara wakubwa na wakati wafanye kazi waache kuviziana na mwisho watu wanafunga maduka mnaanza kuwafata wasio na maduka wachangie wakati wenye maduka wameshindwa hao watawezaje kuchangia...
 
Sugu anaongea na Wananchi wa jimbo lake ofisini kwake... SHIDA ni nini Awamu ya 5 mnataka muongee nyie tu.
Hawa vibaraka wa jiwe majinga kweli .
 
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa hivi matamko na amri za wakubwa ndio sheria. Sasa kwa tamko hilo la mkuu wa mkoa ni dhahiri kabisa kuwa amevunja sheria.
 
Sasa we ukiangalia ile video utasema mkutano! Unaona kabisa kasimama nje ya ofisi inamaana watu wenyewe wameleta kero zao ofsini ,kutokana na wingi inawezekana ikamlazimu atoke nje kuwasikiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Asubui nimesikia kwenye magazeti. Watu wakihoji kulikoni pole pole ahongee nawananchi na serikali imepiga marufuku mikutano ya hadhara tofauti na mbunge wa jimbo husika.

Jibu likatoka hivi
"pole pole husimamishwa na wananchi anapopita" mwisho wakunukuu.

Sasa mimi sikatai kama sugu amehamasisha vurugu hapo kweli atakua amevunja sharia. Ila kama wananchi ndio walimfuata kama mbunge wao na kutoa kero zao tu bila kuchochea vurugu, basi hapo mkuu wa mkoa ameteleza.
 
Ikibainika amevunja sheria achukuliwe hatua. kwa sheria zetu zinataka unapo taka kufanya mkutano basi uombe kibali kutoka kwa OCD kama hakufanya hivyo atakuwa kweli amefanya makosa na achukuliwe hatua
Ila kama atakuwa amefata sheria zote hizo basi mkuu huyo wa mkoa apuuzwe tu sugu apige zake kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mheshiwa mtukufu anaposimamishwaga kwa sapraizi na wananchi tuliompigia kura na kumweleza matatizo yetu huwa kuna kibali ameomba?tofautisha kikao rasmi na watu kukuibukia ghafla na kueleza matatizo yao mawili matatu.
 
Back
Top Bottom