RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo , ambazo zimejaa wamachinga , mama lishe , wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi

Bali haijulikani ni wapi wamachinga hao watapelekwa .
Nasubiria utekelezaji
 
Hili lilikuwa suala la muda tu. Mji mzima umekaa bila utaratibu na umekuwa kero na uchafu. Wakati ni muhimu kila mtu apewe nafasi ya kutengeneza riziki yake, mamlaka ziwe proactive kuandaa maeneo na kuweka miundo mbinu muafaka ili iwe rahisi watu wote wajihusishe na kazi halali za kutafuta riziki.
 
Ondoa wote jiji lipangwe sasa kibiashara

Machadema watapinga na hili
Je wataweza wakumbuke ni wapiga kura wenu je chadema ndio waliowaagiza wapange hizo biashara barabarani bac haya

2824982_20210530_064208.jpg
 
Back
Top Bottom