Mdudu halisi
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 2,730
- 4,771
Arusha ndiko ilikozaliwa CHADEMA. Huyo Gambo nasikia ni mlima mananasi wa Msata hapa. Sasa mgeni anamtisha mwenyeji. Hivi Machalii wa Chuga anawajua au anawafahamu?
haahaa nina hamu nione kweli LEMA ataingia barabarani siku hiyo ama atamuogopa gumbo? pia natamank gumbo naye awe mstari wa mbele kuziia maandamano hayo na sio kujificha nyuma ya watoto wa masikini polis....Ninahesabu siku tu maanake tambo zimekuwa nyingi kila upande unajiona mbabe.
I wish maandamano yaongozwe na hao wanasiasa lakini naona kabisa hawatajitokeza,wengine watapanga ajali ili wawe hospitalini siku yenyewe na wengine watahakikisha wanalala rumande ili wasishiriki.
Kwa kifupi sioni maandamano hiyo tarehe moja.
Itakuwa poa sana maana andiko litakuwa limekamilikaNa mkishapita huko kote 'tutakutana' Mortuary.
Mnaweweseka sanaaKwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.
My take:
Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.
Kwani atafanya nini cha ajabu. Sana sana polisi wataua raia in masses na kuwazika in mass graves kama Rwanda! Hilo kila mmoja anaweza kulifanya la kuamua kuua! Suppose people are ready for that? What next?
siku hiyo aongoze kikosi cha kuzuia maandamano na sio kujificha ofisini....Safi sana mheshimiwa Gambo. Piga kazi
Siwanafuata mkulu anasemaje juu tzKama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
Hujanielewa: Nasema hatafanya lolote la ajabu, sana sana ni polisi kuua watu! Si hilo tu. Hilo hata mtoto wa darasa la chekechea akipewa pistol kwa mtu aliyefungwa mikono na miguu akaambiwa kuwa bonyeza hapa ukimlenga huyu atafanya, atafyatua ataua. Hakuna la ajabu! Everybody knows the consequences! Mass killings!Subiri September Mosi uandamane.
Hujanielewa: Nasema hatafanya lolote la ajabu, sana sana ni polisi kuua watu! Si hilo tu. Hilo hata mtoto wa darasa la chekechea akipewa pistol kwa mtu aliyefungwa mikono na miguu akaambiwa kuwa bonyeza hapa ukimlenga huyu atafanya, atafyatua ataua. Hakuna la ajabu! Everybody knows the consequences! Mass killings!
Yes, vividly knowing the outcome of that! Kwa hiyo Gambo atakuwa na ushujaa gani? Au polisi watakuwa na ushujaa gani? Wangelikuwa syria wanasema maneno hayo, that could have a "tickling" impulse!Kwa hiyo Uko tayari kufa?
andamana peke yako usiwajaze ujnga vijana wakapoteze dira ya maisha yao kwa vitu ambavyo havina maana..UJUMBE KWA CHADEMA CCM
Ndugu Mfuasi wa CDM,usikubali kutishwa na watu waoga waliokosa dira hao. Wameshindwa kupambana na waalifu wanapambana na Raia.Hawajui sisi ndio tunaotoa kodi wanazolipwa kama mishahara na bahati mbaya tunaishi nao mtaani.Jeshi dhahifu ndio huwa linashindwa kupambana na maadui na kutafuta Raia wema ili waonekane wanafanya kazi.
Ndugu mfuasi wa CDM- KILA NAFSI ITAONJA MAUTI, AWE MAGUFULI,POLISI AU WALE WAFUASI WA CCM wanaofurahia uvunjifu wa amani wakihisi wenyewe wako salama WOTE WATAONJA MAUTI.
Hata pasipo UKUTA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI, Kwahiyo hatuogopeshwi na Maigizo ya POLISI hao waoga wanaofanya mazoezi barabarani kumtisha raia mwema asiye na silaha. Hao ni waoga tu,ni waoga wasio na nidhamu na mwisho wao ni karibu. NI WAOGA
Kama wanadhani DOLA inauwezo dhidi ya raia basi wawaulize Jeshi la Misri,Tunisia,Libya nk kwamba walikuwa wapi mpaka Marais wao alipokuwa wanapinduliwa na wananchi. Hatuogopi mazoezi hayo ya ajabu ajabu ambayo hata sisi tunafanya huku mtaani, kwahiyo tarehe 1/92016 ni UKUTA kama kawaida.
Kuna viongozi wa CCM,DINI na wanafiki fulani wachache wanahisi wao wataishi daima lkn nawakumbushieni msiogope KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.Wao wachochee tu ili wale vizuri lkn KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. Awe Mwigulu, Mangu,Olesendeka,Mkapa nk WOTE WATAONJA MAUTI TU, wapende wasipende kwahiyo hatuogopi silaha zao hizo.
UKUTA NI LAZIMA.
Mwenyewe lazima upite Mortuary kwa sababu haujui siku wala saa.Kaa kimchezoNa mkishapita huko kote tutakutana Mortuary.
Hate bageth hate....ndicho kilichitokea, pole mkuu, tulikuwa tunasafiri bas moja, ila dereva ndo Kama hivo anapendelea watu wanaofanana nae, nilijua Ni abiria wote....Halafu haya mambo yote yanayofanyika kwenye uongozi huu yanazidi kuujenga upinzani. Kama mimi binafsi nilipenda sana hatua alizozichukua Magufuli za kupambana na uzembe na rushwa alivyochukua madaraka, lakini sasa nimebadilisha mawazo na sidhani kama ni mtu sahihi wa kuiendeleza nchi hii kutokana na maamuzi yake na watu aliowachagua. Anaweza kuwa na nia nzuri lakini sidhani kama anao uwezo. Kuna tofauti kati ya kuwa na nia na uwezo.