RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

Yani siku haziendi ninahamu kweli yakuachia kisago hadi mtu dushelele ipoteze dira..
 
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.

My take:

Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.
haya tutaingia na watoto wetu,and ofcoz ndo hua tunaingia na watoto wetu,au unashangaa tunavyokua weng?
 
Back
Top Bottom