RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

Modibo

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
425
700
Mashahidi watano watakaotoa ushahidi Tarehe 3 February kwenye kesi ya Lema na Mkewe.
1f447.png

1. Mrisho Gambo, (Mkuu wa Mkoa-Arusha)
2. George Katabazi (Mkuu Upelelezi Arusha)
3. Damasi Massawe(ASP).
4. Mtaalamu wa Picha.
5.Mwakilishi (VODACOM).

Vielelezo Vitakavyotolewa katika kesi hiyo
1f447.png

1. Nakala ya taarifa za mawasiliano ya simu kutoka kampuni ya Vodacom,
2. Simu ya mshitakiwa ambaye ni ya mke wa Lema (Neema Lema)
3.Taarifa ya uchunguzi kutoka kitengo cha masuala ya kiuchunguzi (Forensic Bureau).

Hii ngoma imekaa vibaya sana.

=======

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo pamoja na mashahidi wenzake wanne wanatarajia kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema pamoja na na Mkewe Neema Lema, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, Februari 3, 2017

Kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Alice Mtenga amesema licha ya Gambo pamoja na wenzake wanne kutoa ushahidi wao Februari 3 mwaka huu, pia mashahidi hao watakuwa na vielelezo vitatu vitakavyotolewa mahakamani hapo.

Mtenga amesema hayo mbele ya Hakimu, Nestory Barro wakati akiwasomea maelezo ya awali washtakiwa hao ambao ni mume na mke.

Amesema mashahidi watano watatoa ushahidi wao ambao ni Mkuu wa Mkoa Arusha Mrisho Gambo , Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha(RCO) ,George Katabazi, (ASP) Damasi Massawe, mhusika kutoka kampuni ya simu ya Vodacom pamoja na mtaalam wa picha.

Pia amevitaja vielelezo watakavyovitoa katika kesi hiyo kuwa ni nakala ya taarifa za mawasiliano ya simu kutoka kampuni ya Vodacom, Simu ya mshitakiwa ambaye ni ya mke wa Lema ,Neema Lema pamoja na taarifa ya uchunguzi kutoka kitengo kinachoshughulikia masuala ya kiuchunguzi (Forensic Bureau).

Baada ya kuwasomea maelezo hayo ya awali, washtakiwa hao kwa pamoja walikiri kuwa ni wakazi wa Arusha na Lema ni Mbunge wa Arusha Mjini ila walikataa kusambaza ujumbe huo wa kumtukana Gambo wala tarehe ya kukamatwa kwao.

Naye Hakimu Barro ameahirisha kesi hiyo hadi Februari 3 mwaka huu, ambapo Gambo atafika mahakamani hapo kutoa ushahidi wake ili kuithbitishia mahakama jinsi aliyojisikia vibaya, baada ya kutukanwa na Lema pamoja na Mke wake Neema.

Chanzo: EATV
 
Mashahidi watano watakaotoa ushahidi Tarehe 3 February kwenye kesi ya Lema na Mkewe.
1f447.png

1. Mrisho Gambo, (Mkuu wa Mkoa-Arusha)
2. George Katabazi (Mkuu Upelelezi Arusha)
3. Damasi Massawe(ASP).
4. Mtaalamu wa Picha (VODACOM).
5.Mwakilishi (VODACOM).

vielelezo Vitakavyotolewa katika kesi hiyo
1f447.png

1. Nakala ya taarifa za mawasiliano ya simu kutoka kampuni ya Vodacom,
2. Simu ya mshitakiwa ambaye ni ya mke wa Lema (Neema Lema)
3.Taarifa ya uchunguzi kutoka kitengo cha masuala ya kiuchunguzi (Forensic Bureau).

Hii ngoma imekaa vibaya sana.
Lema Ni muhalifu Mungu anampa majibu akiwa hai. End of Lema 2017 shine usalama polen mliokuwa mkimpigia makofi muhalifu.
 
Cc Tundu Lissu na Mbowe je hiyo ndio democrasia?
 
Mi huwa nasema tunasafari ndefu sana, vihiyo wengi sana hii nchi.
 
Mashahidi watano watakaotoa ushahidi Tarehe 3 February kwenye kesi ya Lema na Mkewe.
1f447.png

1. Mrisho Gambo, (Mkuu wa Mkoa-Arusha)
2. George Katabazi (Mkuu Upelelezi Arusha)
3. Damasi Massawe(ASP).
4. Mtaalamu wa Picha (VODACOM).
5.Mwakilishi (VODACOM).

vielelezo Vitakavyotolewa katika kesi hiyo
1f447.png

1. Nakala ya taarifa za mawasiliano ya simu kutoka kampuni ya Vodacom,
2. Simu ya mshitakiwa ambaye ni ya mke wa Lema (Neema Lema)
3.Taarifa ya uchunguzi kutoka kitengo cha masuala ya kiuchunguzi (Forensic Bureau).

Hii ngoma imekaa vibaya sana.
Ccc Zitto tunakusubiri endelea kusema tungo tata kuhusu Magu ila ukifika kwa tair tingatinga utaisoma #
 
Mashahidi watano watakaotoa ushahidi Tarehe 3 February kwenye kesi ya Lema na Mkewe.
1f447.png

1. Mrisho Gambo, (Mkuu wa Mkoa-Arusha)
2. George Katabazi (Mkuu Upelelezi Arusha)
3. Damasi Massawe(ASP).
4. Mtaalamu wa Picha (VODACOM).
5.Mwakilishi (VODACOM).

vielelezo Vitakavyotolewa katika kesi hiyo
1f447.png

1. Nakala ya taarifa za mawasiliano ya simu kutoka kampuni ya Vodacom,
2. Simu ya mshitakiwa ambaye ni ya mke wa Lema (Neema Lema)
3.Taarifa ya uchunguzi kutoka kitengo cha masuala ya kiuchunguzi (Forensic Bureau).

Hii ngoma imekaa vibaya sana.
Weka charge sheet hapa.

Neno "tutakudhibiti kama uarabuni wanavyodhibiti mashoga"
haya rise issues onyesha kesi hapo
 
Mashahidi watano watakaotoa ushahidi Tarehe 3 February kwenye kesi ya Lema na Mkewe.
1f447.png

1. Mrisho Gambo, (Mkuu wa Mkoa-Arusha)
2. George Katabazi (Mkuu Upelelezi Arusha)
3. Damasi Massawe(ASP).
4. Mtaalamu wa Picha (VODACOM).
5.Mwakilishi (VODACOM).

vielelezo Vitakavyotolewa katika kesi hiyo
1f447.png

1. Nakala ya taarifa za mawasiliano ya simu kutoka kampuni ya Vodacom,
2. Simu ya mshitakiwa ambaye ni ya mke wa Lema (Neema Lema)
3.Taarifa ya uchunguzi kutoka kitengo cha masuala ya kiuchunguzi (Forensic Bureau).

Hii ngoma imekaa vibaya sana.
Imekaa vibaya kwako na kwenu
 
Huo uhalifu umeuthibitisha ww? Kwan na ww ni mahakama?

Tumia bas hata akili kidogo ndugu. Kuna mhalifu na mtuhumiwa wa uhalifu.

Kwa akili hizi tusubir miaka 50 ijayo kupata tz ya vi-wonder
Lema ni muhalifu. Mtu yeyote alie apa kutii sheria za nchi alafu huyo anazikanyaga tena mbunge huyo ni zaidi ya muhali. Lema tumemlea sana but any way Mungu anaenda kumjibu nabii uchwara lema. Alie mtisha Rais atakufa hakiyamama tunataka kuona huo unabii siku ukitimia ili na yeye tuone kama atakuwa sehem gani. Lema sio kiongoz amejishusha nasasa ni muhalifu. The end of lema kelele is near. Atakwenda tabiria gerezan
 
Hapo hata akiitwa nani kuwa shahidi, nadhani kazi yao itakuwa ni kuthibisha kama Ujumbe unaosemwa ni matusi kwa mkuu wa mkoa umetumwa na Mke wa Lema. Baada ya hapo kitakachofuata ni kuangalia kama kweli huo Ujumbe ni matusi ama wenye kudhalilisha, na hapa ndipo kwenye tatizo kwa Mlalamikaji. Hasa kama kweli ule Ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ndio huo unaosemwa ni matusi. Binafsi sioni tusi wala kashfa yoyote ile. Itakuwa kazi kubwa kwa mkuu wa mkoa kuthibitisha Ujumbe huo ni matusi kwake....hasa kama haki itatendeka. Nadhani Mipango iliyopo nyuma ya kesi hii ni mipango yenye uovu, dhambi na aibu kubwa. Ni jambo baya sana kutumia mamlaka yako kumnyanyasa mwingine.
Mara ngapi wapinzani wametukanwa matusi mabaya hadharani? Huyo anayelalamika leo katukanwa na Mke wa Lema yeye kawatukana wangapi? Je, wao hawana haki?
Mtu huyu unaweza kukuta kila wiki anaingia kwenye nyumba za ibada kwa unyenyekevu.
Tufanye mambo tukikumbuka kuwa kuna maisha mengine tofauti na hapa duniani.
Wako wapi wale wababe wa Dunia hii? Yupo wapi Savimbi? Yupo wapi Mobutu wa Zaire? Yupo wapo Adolf Hitler? Hawa wote walikuwa na uwezo wa kuwanyanyasa binadamu wenzao na hata kuwaua kikatili. Leo wapo mavumbini. Mandela angekuwa na moyo kama wa watesi wa Lema angewafunga wangapi pale afrika kusini?
Tujifunze kwa waliotutangulia.
 
Lema Ni muhalifu Mungu anampa majibu akiwa hai. End of Lema 2017 shine usalama polen mliokuwa mkimpigia makofi muhalifu.
Kikubwa watu wanasahau the power of present. ..ukae nyumbani kwako na familia yako kwa amani na upendo ni nini kijiingiza katika sakata la kutoleana maneno machafu na binadamu mwenzio? MOLA WANGU aniepushe milele yote. ..Amen RA
 
Back
Top Bottom