RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

Kama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..

Hiyo bold iko sahihi kabisa. Haianzii tu kwenye uongozi wa mikoa na wilaya, hata uongozi wa nchi kimataifa marais huita nchi wanazoongoza 'my country' au kama unawakilisha continent unaweza pia kusema 'my continent'.,,,, Kwa kifupi inakubalika.
 
Kuna andiko kwenye biblia linasema 'kuishi ni kristo ila kufa kwangu ni faida'.

Najaribu kutafuta sehemu ya kulichomekea kwenye uzi huu sipapati!
 
Kujisahau tu. Kuna mtu alijiona Mungu-mtu kuliko Mulongo alipokuwa Arusha? Yuko wapi sasa hivi
 
UJUMBE KWA CHADEMA CCM
Ndugu Mfuasi wa CDM,usikubali kutishwa na watu waoga waliokosa dira hao. Wameshindwa kupambana na waalifu wanapambana na Raia.Hawajui sisi ndio tunaotoa kodi wanazolipwa kama mishahara na bahati mbaya tunaishi nao mtaani.Jeshi dhahifu ndio huwa linashindwa kupambana na maadui na kutafuta Raia wema ili waonekane wanafanya kazi.
Ndugu mfuasi wa CDM- KILA NAFSI ITAONJA MAUTI, AWE MAGUFULI,POLISI AU WALE WAFUASI WA CCM wanaofurahia uvunjifu wa amani wakihisi wenyewe wako salama WOTE WATAONJA MAUTI.
Hata pasipo UKUTA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI, Kwahiyo hatuogopeshwi na Maigizo ya POLISI hao waoga wanaofanya mazoezi barabarani kumtisha raia mwema asiye na silaha. Hao ni waoga tu,ni waoga wasio na nidhamu na mwisho wao ni karibu. NI WAOGA
Kama wanadhani DOLA inauwezo dhidi ya raia basi wawaulize Jeshi la Misri,Tunisia,Libya nk kwamba walikuwa wapi mpaka Marais wao alipokuwa wanapinduliwa na wananchi. Hatuogopi mazoezi hayo ya ajabu ajabu ambayo hata sisi tunafanya huku mtaani, kwahiyo tarehe 1/92016 ni UKUTA kama kawaida.
Kuna viongozi wa CCM,DINI na wanafiki fulani wachache wanahisi wao wataishi daima lkn nawakumbushieni msiogope KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.Wao wachochee tu ili wale vizuri lkn KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. Awe Mwigulu, Mangu,Olesendeka,Mkapa nk WOTE WATAONJA MAUTI TU, wapende wasipende kwahiyo hatuogopi silaha zao hizo.
UKUTA NI LAZIMA.
Weka jina na mtaa wako ili siku ikifuka tuthibitishe kwamba upo maandamanoni na siyo nyuma ya keyboard
 
Nipo standi ya viford maandamano yataanzia wapi tarehe 1 nipeni ratiba makamanda.
 
Kwani maandamano yana impact gani hadi serikali inatokwa povu namna hii! !Mtu unaweza kupuliza dawa ya mbu kopo zima na asife hata mbu mmoja. Mikwara kila kona aaargh tushawachoka binafsi ntaandamana tu maana tunapoelekea watoto wetu watakuja kutuona mazwazwa! !Sikuizi hadi Mtu unafikia hatua hata kutoa comments unaogopa aaargh tumewachokeni, mi sio mfuasi wa siasa au chama chochote lakini hili la kuniziba mdomo ndio linanikera
 
Ngoja sisi tuwe akina "Yangu macho".Utasikia "Hapa lazima damu imwagike ".Umetoka nyumbani watoto hata uji tu shida, halafu unakuja kutetea ruzuku za DJ ambazo hata hujui anakula na nani.
Hayo hayakuhusu, tulia tukuletee mabadilko nyumbani na mkeo...
 
Hiyo bold iko sahihi kabisa. Haianzii tu kwenye uongozi wa mikoa na wilaya, hata uongozi wa nchi kimataifa marais huita nchi wanazoongoza 'my country' au kama unawakilisha continent unaweza pia kusema 'my continent'.,,,, Kwa kifupi inakubalika.
Mkuu unalosema ni nje ya nchi, ukiwa hapa unasema mkoa wetu, wilaya yetu, Jimbo letu...collective responsibility....
Huu ni uhuni wa kujiweka juu ya kila kitu katika eneo husika....kila mtu atimize wajibu wake..tufanye kazi, tulipe kodi, ulipwe mshahara kwa jasho letu alaf useme "eneo lako"..,. Ulimbukeni huu.
 
Wewe vipi? Hizo sheria na Katiba ndizo zinazowapatia RC, DC na wengineo mamlaka ya kutamka usiyoyataka. Chadema wakiongoza UKAWA kwa unafiki (uchaguzi mkuu 2015) walichezea ushindi gamble sasa watajua kuwa kweli majuto ni mjukuu.
Tunataka haki ya kusikilizwa mawazo mbadala..hii nchi ni yetu sote...
 
Pongezi kwako RC
Naona wewe kiboko ya wanywa viroba.
Tar 01 hawata sahau kitakacho wakuta
 
Mbona kama ukuta una ufa na mwenye nyumba kamchukua fundi thithiem aubomoe ili aujenge upya 2020 je mwajua hilo ukuta una ufa jamani
 
Kweli hawa jamaa hawajaelewa nini maana ya ukuta.........UKUTA haummuliki baba Jesca peke yake bali mfumo wowote kandamizi usiofuata sheria mama za nchi. Hao wadinwani, wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na yule anayeimba kila kukicha kuwa serekali cjui ya nani ndo UKUTA unataka uwavue hati miliki batili waliyowanyang'anya watz.......maana nchi ni ya kwetu wote na wote tunapashwa kufuata katiba kama undava hakuna binadamu asiyeuweza kiasili.........
 
Watu kwa kujivunia nguvu za dola hawajambo.ni kama kenge na kichuguu cha mchwa.
 
Nguvu ya umma ilifanya maamuzi October 2015 CCM majimbo 190, UKAWA 39 bado mnasubiri nguvu ya umma ipi?
 
Back
Top Bottom