RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

Swali zuri sana kiongozi wangu hata Mimi kila nikisikia kauli za viongozi wetu najiuliza sana hivi ikitokea raia in masses wakamua kuingia barabarani watafanyaje? Watawaua wote? Huu utaratibu wa viongozi kutuita sisi viumbe ukomeshwe Mara moja! Huku ni kulewa madaraka, eti kiumbe chochote?? Ujinga mtupu!
Ulevi wa madaraka! Kujisahau kuwa kuna kesho!
 
Ccm mbona mnateseka sana?acheni vitisho ukuta upo pale pale kama ni kufa tupo tayari kula nafsi itaonya mauti.ukuta mbeleeeee
 
sioni ajabu mimi kufa alafu mwanangu na kizazi kijacho kiishi kwa amani tena amani ya kweli alafu uyu gambo bado ajamjua vizuri LEMA .
 
sioni ajabu mimi kufa alafu mwanangu na kizazi kijacho kiishi kwa amani tena amani ya kweli alafu uyu gambo bado ajamjua vizuri LEMA .
 
SI VYEMA KUTUMIA NGUVU KUBWA SANA KUZUIA KITU AMBACHO HAKINA ATHARI. KWANI WAKIULIZWA ATHARI YA MAANDAMANO NI NINI ...MAJIBU YA KISAYAMNSI YATAPATIKANA KWELI?
 
SI VYEMA KUTUMIA NGUVU KUBWA SANA KUZUIA KITU AMBACHO HAKINA ATHARI. KWANI WAKIULIZWA ATHARI YA MAANDAMANO NI NINI ...MAJIBU YA KISAYAMNSI YATAPATIKANA KWELI?
Exactly, well said, can they provide an answer within the confines of a rule of law and constitutionality leave alone a scientific one!?
 
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.

My take:

Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.
Hii mikwara walishapiga kina Mobutu, Ghaddafi, Blaise Compaore na wengineo wengi na wote waliilamba ardhi ije iwe panya huyu!
 
1.Kama UKUTA unatutoa jasho hivi tukitofautiana na nchi jirani itakuwaje? Kutakuwa na compromise au vita ni yetu? Tujifunze sasa kutatua changamoto ndogo kama UKUTA kwa njia sahihi na busara!
 
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.

My take:

Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.

Adui namba moja wa maendeleo ya taifa la Tanzania ni CCM na viongozi wake. Ndo mana nchi hii imedumaa kimaendeleo kwa zaidi ya miaka 50.
 
Mkuu awe na hekima katika hili. Kama anadhani wapinzani siyo watanzania awbasi aamuru polisi wamiminie risasi. Lakini kama ni watanzania watoto wetu basi ukatili wowote watakaofanyiwa na polisi utaleta chuki kwa Mkuu wa nchi na ni chuki ambayo haitaisha.
 
Hii serikali ya sasa mbona inaamrisha tu wananchi? Wanadharau sana wananchi. Kwa kuwa sasa wameshapata kura basi tena.Hawaongei na wananchi hawashauriani na wananchi wanakuwa kama miungu. Nitafanya nitafanya.....mimi mimi yangu yangu yangu.....
 
Nimekumbuka usemi wa Muhammar Ghadaff 'I will not give up', 'we will chase the cockroaches'....kumbe angekaaga meza ya mazungumzo na hao cockroaches, huenda hadi leo angekuwepo....ubabe haulipi kivile
Haha ha! Nimeipenda sana hii comment na Gadafi ni mfano mzuri sana.
 
Kama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
Andamana basi hiyo sept mosi
 
Asubili anyooshwe hiyo ni arusha sio kigoma!!
 
Hiyo bold iko sahihi kabisa. Haianzii tu kwenye uongozi wa mikoa na wilaya, hata uongozi wa nchi kimataifa marais huita nchi wanazoongoza 'my country' au kama unawakilisha continent unaweza pia kusema 'my continent'.,,,, Kwa kifupi inakubalika.
Siyo viongozi tu, hata wewe unaweza kuiita Tanzania "nchi yako". Kwa hiyo mwasiasa akiita tanzania nchi yake ni sawa pia. La muhimu ni kwamba unaposema hivo kama kiongozi utambue kuwa nchi/mkoa/wilaya unayoongoza ni ya hao unaowaongoza pia. Huna hati miliki ya eneo hilo. Kiongozi lazima ajifunze kuwa na lugha ambayo ni jumuishi.
 
Gambo anaugonjwa wa akili jaman c yeye maana angekuwa mzima angesitirika kidogo.MTU ambaye amekataza hata makanisa kufany ibada zao mnadhan mzima? TUMEZALIWA CHUGA TUMEKULIA CHUGA TUNAIJUA ZAID ANAVYODHANI SASA AMEUPIGIZA KWENYE JIWE LA NCHA LAZIMA ASEME POOO.AMEKUJA NA KIHEMKO CHAKE ATAJUTA
 
Back
Top Bottom