RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.

My take:

Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.
 
Kama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
 
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo....

Mytake:... Asiyesikia la Mkuu, uvunjika mguu. naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. waacheni viongozi wa Chadema waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama...
Maandamano yako pale pale na mwambie yeye aje tukutane uso kwa uso ili tumuonyeshe discipline.
 
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo....

Mytake:... Asiyesikia la Mkuu, uvunjika mguu. naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. waacheni viongozi wa Chadema waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama...
Kwani atafanya nini cha ajabu. Sana sana polisi wataua raia in masses na kuwazika in mass graves kama Rwanda! Hilo kila mmoja anaweza kulifanya la kuamua kuua! Suppose people are ready for that? What next?
 
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo....

Mytake:... Asiyesikia la Mkuu, uvunjika mguu. naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama...
UJUMBE KWA CHADEMA CCM
Ndugu Mfuasi wa CDM,usikubali kutishwa na watu waoga waliokosa dira hao. Wameshindwa kupambana na waalifu wanapambana na Raia.Hawajui sisi ndio tunaotoa kodi wanazolipwa kama mishahara na bahati mbaya tunaishi nao mtaani.Jeshi dhahifu ndio huwa linashindwa kupambana na maadui na kutafuta Raia wema ili waonekane wanafanya kazi.
Ndugu mfuasi wa CDM- KILA NAFSI ITAONJA MAUTI, AWE MAGUFULI,POLISI AU WALE WAFUASI WA CCM wanaofurahia uvunjifu wa amani wakihisi wenyewe wako salama WOTE WATAONJA MAUTI.
Hata pasipo UKUTA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI, Kwahiyo hatuogopeshwi na Maigizo ya POLISI hao waoga wanaofanya mazoezi barabarani kumtisha raia mwema asiye na silaha. Hao ni waoga tu,ni waoga wasio na nidhamu na mwisho wao ni karibu. NI WAOGA
Kama wanadhani DOLA inauwezo dhidi ya raia basi wawaulize Jeshi la Misri,Tunisia,Libya nk kwamba walikuwa wapi mpaka Marais wao alipokuwa wanapinduliwa na wananchi. Hatuogopi mazoezi hayo ya ajabu ajabu ambayo hata sisi tunafanya huku mtaani, kwahiyo tarehe 1/92016 ni UKUTA kama kawaida.
Kuna viongozi wa CCM,DINI na wanafiki fulani wachache wanahisi wao wataishi daima lkn nawakumbushieni msiogope KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.Wao wachochee tu ili wale vizuri lkn KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. Awe Mwigulu, Mangu,Olesendeka,Mkapa nk WOTE WATAONJA MAUTI TU, wapende wasipende kwahiyo hatuogopi silaha zao hizo.
UKUTA NI LAZIMA.
 
Umeongelea kufaidi ruzuku ya chama,lakini matunda/malengo ya hayo maandamano ni zaidi ya hapo na watu wengi wanafahamu.Kama maandamano halali ya amani yanaruhusiwa kikatiba kwanini viongozi wajihami hivo,kwa kutoa vitisho.wanadhani watafanyaje?watawamiminia watu risasi au?
 
HAWA VIONGOZI WANAOJIONA MIUNGU WATU HAWAJIFUNZI KWA VIONGOZI WALIYOPITA...
HAWAJAWAHI KUONA JINSI NGUVU YA UMMA INAVYOANGUSHA SERIKALIIII .....NGUVU YA UMMA IKIAMUA...
Nguvu ya umma ipi maana kama nguvu ya umma tayari imefanya maamuzi tangu Oktoba 25
 
Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.

My take:

Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.
Nimekumbuka usemi wa Muhammar Ghadaff 'I will not give up', 'we will chase the cockroaches'....kumbe angekaaga meza ya mazungumzo na hao cockroaches, huenda hadi leo angekuwepo....ubabe haulipi kivile
 
Back
Top Bottom