MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Limbukeni huyo.
Kabisa. Wanataka tuanze kuwa abudu wao wakati waku abudiwa ni Mungu peke yake. Mtu anashinda kufanya majukumu yake anageuka vitisho kwa watu. Sijui tuna elekea wapiKama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
mkuu kilichofanyika oktoba kwa data zako hizo mungu anajua....ccm walifanya maajabu mengi sana kwenye uchaguzi wa mwaka jana wakisaidiwa na dola...Nguvu ya umma ilifanya maamuzi October 2015 CCM majimbo 190, UKAWA 39 bado mnasubiri nguvu ya umma ipi?
Hawa makada wa ccm wanatupeleka pabaya sana ajue kuwa watu hawamuogopi huyo gambo bali watu wanacho angalia na kujali ni sheria tu inasemajeKama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
Hawezi kupata mapokezi makubwa huyo! Ni Arusha au ni wapi?!Kwa wale wakazi wa Arusha, Mkuu wa Mkoa mpya Ndg. Mrisho Gambo katoa onyo kali na kusema tarehe 1, September kiumbe chochote kile chenye uhai kisithubutu kuandamana katika mkoa wake. Gambo kasema hayo jana katika mapokezi makubwa yaliyofanya na wakazi wa mkoa huo.
My take:
Asiyesikia la Mkuu, huvunjika guu. Naamini wote mmesikia onyo mbalimbali zilizotolewa na wakuu wa nchi. Chonde chonde siku hiyo usithubutu kuingia barabarani. Waacheni viongozi wa CHADEMA waingie na watoto wao manake wenyewe ndio wanafaidi ruzuku za chama.
Mkemee na Mbowe,anaekaa madarakani hadi afe,ina maana Chadema yoote hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa mwenyekiti?Kama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
Akaishiwaa hadi kufanyiwa ushenzi pia!tatizo hawa viongozi miungu mtu bado hawajifunziNimekumbuka usemi wa Muhammar Ghadaff 'I will not give up', 'we will chase the cockroaches'....kumbe angekaaga meza ya mazungumzo na hao cockroaches, huenda hadi leo angekuwepo....ubabe haulipi kivile
Kama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
wala si risasi, ni vurungu mtatia adabu. hakuna atakayepoteza maisha. mtapigwa tu baaasi.Umeongelea kufaidi ruzuku ya chama,lakini matunda/malengo ya hayo maandamano ni zaidi ya hapo na watu wengi wanafahamu.Kama maandamano halali ya amani yanaruhusiwa kikatiba kwanini viongozi wajihami hivo,kwa kutoa vitisho.wanadhani watafanyaje?watawamiminia watu risasi au?
UKUTA hebu tupeni ratiba nzima tunaanzia wapi, mbauda road? sombetini? Arusha clock tower? Mianzini?