RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

RC Gambo: Tarehe 1, Sep kiumbe chochote kisithubutu kuandamana Arusha

kufuatwa ni sheria na katiba
Wewe vipi? Hizo sheria na Katiba ndizo zinazowapatia RC, DC na wengineo mamlaka ya kutamka usiyoyataka. Chadema wakiongoza UKAWA kwa unafiki (uchaguzi mkuu 2015) walichezea ushindi gamble sasa watajua kuwa kweli majuto ni mjukuu.
 
Nimekumbuka usemi wa Muhammar Ghadaff 'I will not give up', 'we will chase the cockroaches'....kumbe angekaaga meza ya mazungumzo na hao cockroaches, huenda hadi leo angekuwepo....ubabe haulipi kivile
ungejua kuwa hakuna anayeweza kukaa meza moja na cockroaches usingebwagiza hivyo. Cockroaches wenyewe kwa wenyewe hadi sasa wameshindwa kukaa pamoja na kuzungumza! Mende huhitaji giza tu siyo mwanga. Mabeberu wanajua hili.
 
Huyo idiot hajui vizuri Arusha. Ngoja mda ndio utakaosema.
 
Oh kumbe ? Basi sawa ,kiumbe chochote chenye uhai ? Mijitu mingine bana kwa hiyo ukikutana na mbwa anakatiza sept mosi unamfanya nini ?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mwambie cheo ni dhamana walikuwepo kama yeye wakaja wakajidai kisha wakasaulika.Gambo ni mtu mdogo sana na mtandao wake ni kidogo sana kazi kujipendekeza.mfn wako wapi? mulongo.kinana akiwa mbunge.aliyeondolewa rc na baadhi.ili afanikiwe ktk siasa zake atulie asipambanae
 
Nimekumbuka usemi wa Muhammar Ghadaff 'I will not give up', 'we will chase the cockroaches'....kumbe angekaaga meza ya mazungumzo na hao cockroaches, huenda hadi leo angekuwepo....ubabe haulipi kivile
Unawaita Marekani, Uingereza na France cockroaches!
 
ungejua kuwa hakuna anayeweza kukaa meza moja na cockroaches usingebwagiza hivyo. Cockroaches wenyewe kwa wenyewe hadi sasa wameshindwa kukaa pamoja na kuzungumza! Mende huhitaji giza tu siyo mwanga. Mabeberu wanajua hili.
Huo ni mfano ili kwetu yasitokee....tofauti yetu sisi ni vita kati ya mwenye mabom(dola) na bunduki + maneno(CCM) versus wasio na silaha ni maneno tu (UKAWA).
 
Kama hii nchi ni ya babke sawa.
Halafu hili la viongozi kuita eneo analoongoza kuwa ni lake inatia kinyaa sana...Jimbo langu, Mkoa wangu, Wilaya yangu.. Etc.......cha kufuatwa ni sheria na katiba.,Muda umefika tukatae kuwatukuz viongozi wenye akili za kilimbukeni namna hii..
Ngoja sisi tuwe akina "Yangu macho".Utasikia "Hapa lazima damu imwagike ".Umetoka nyumbani watoto hata uji tu shida, halafu unakuja kutetea ruzuku za DJ ambazo hata hujui anakula na nani.
 
Kiumbe chochote tena..? eehh..

Defn: Kiumbe chochote kuna inzi, mbwa, paka, ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, masai, wahzabe, nyumbu, farasi, punda, mwanadamu, ndege, kuku, bweha, tembo, pundamilia, nyati, ngiri, nguruwe pori, pongo ( bushback ), Swala, Fisi, Simba, mbwa mwitu, mbuni... etc..

Sasa nyumbu,Tembo, Ng'ombe, kondoo, swala, mbuni na mbwa hasa jike akiwa ktk heat madume zaidi ya kumi wanamfuata kwa maandamano makali sana.. ndio hupenda sana kuandamana Arusha... akiua tu, shauri yake..

Viumbe Arusha kaeni chonjo..!!

Duuh..!! Viumbe..!!? Madaraka hulevya.. haki ya nani..!! Ukitaka kumjua a Great man give him 1: Fedha 2: Madaraka..!! Hivi viwili, utamjua huyu ni Kiongozi au kikojozi..!!
 
Back
Top Bottom