Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,221
- 219,400
Naunga Mkono kauli hii Kabambe ya RC Chalamila
---
---
😆😆😆😆😆Asiyemfahamu Albert Chalamila, kijana wa mufindi Iringa; hakika atapata tabu sana. 😁
Mjomba wangu katika ubora wale....acha ajiropokee....tu atakavyo CV imetimia ana shida gani ?
"The major difference between FOOLS and BRAVES is that, Braves speak when they have something to say, but Fools speak because they have to say something."
Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!
Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Punguza makasiriko bhna...Siku moja moja si lazma muwe serious Nyumbani kila siku..Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!
Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Kwahiyo hii quote ni inclueded mleta mada ama!! fafanua pulizzzz"The major difference between FOOLS and BRAVES is that, Braves speak when they have something to say, but Fools speak because they have to say something."
Wanaojilopokea hivi wanakuwaga sio watekelezaji. Sisi wakimya sasa! Unaweza kupitia wahudumu wote, wakishajuana unahama bar unarudi baada ya miezi mitatu wameshabadili wahudumu.Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!
Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Mbn hujamtag🤣Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!
Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Hiyo nyumba mko watu serious tu. Yaani watu wa point tupu. Mizaha haina nafasi kabisa! You need to learn to relax on irony, humour and satire - for your health.Halafu huyo ni mume wa mtu na baba kwa familia!
Mi wangu akisema hivyo ajiandae pa kurudia kwakweli, sio nyumbani!
Wewe nae? Hapo nilikuwa natania tu ndio maana walioelewa wameishia kucheka.Hiyo nyumba mko watu serious tu. Yaani watu wa point tupu. Mizaha haina nafasi kabisa! You need to learn to relax on irony, humour and satire - for your health.
Kwani nimewahi kumtag? 🙊Mbn hujamtag🤣