Rayvanny afunguka kuhusu Harmonize, Paula, lebo ya NextLevel na mengine kuhusu muziki wake

Hata watu wanaohangaika kuwafuatilia hawa wajinga ni wajinga sikwea......inakuwaje mtu mwenye akili timamu unahaha na kuhangaika na hivi vijamaa balehe zinawasumbua
 
I understand,

Hata hivyo kanuni za kulinganisha ziko simpo... Huwezi kulinganisha watu ktk mazingira tofauti...

Ungekuwa mjanja ungenipa ulinganifu wa Harmonize na Rayvanny wakiwa wote chini ya lebo moja.

Pale ndio ukwel ulipo.

Rayvanny anamkimbiza Harmonize kwa mauzo tangu bado yupo wcb ,rayvaany anamkimbiza harmonize kwa tuzo tangu yupo wcb
 
I understand,

Hata hivyo kanuni za kulinganisha ziko simpo... Huwezi kulinganisha watu ktk mazingira tofauti...

Ungekuwa mjanja ungenipa ulinganifu wa Harmonize na Rayvanny wakiwa wote chini ya lebo moja.

Pale ndio ukwel ulipo.
Rayvanny kashinda tuzo ya BET wakiwa wote wapo Wcb na alikuwa bado anaongoza kuwa na mauzo yake ya music wote wakiwa wote wapo hapo hapo.
 
Kuhusu nani kamzidi hiyo sio big issue ila konde anajipotezea deal nyingi hapa sababu konde nje ya mipaka hafanyi vizur kimauzo ukilinganisha na team wcb achange kalata zake vzr endorsement ni wepesi kukukacha
 
Kwa iyo mdau mmakonde kafanya kipi kibaya mpaka van kuvujisha picha zake za utupu.....iyo kupelekwa polisi ama na mbona kesi yenyewe iliisha juu kwa juu...


Ukikaa chini na kutafakari utaona kabisa nani ni mbaya kwa mwenzie
What goes around comes around, dogo issue yake ya kwanza Chinga alikesha polisi akidai mwanafunzi anaharibiwa future yake sasa naye kateleza kamuonyesha huyo huyo 'mwanafunzi' utupu wake kwa njia ya mtandao kumbe mtoto wa kike kaalika familia nzima kuona sausage na korodani zake hapo mwenzie akatumia fursa yaani akuanzaye mmalize. Sijui yeye kwa kuonyesha utupu alikuwa anamsaidia mwanafunzi somo la biology au alikuwa na lengo lipi.
 
Baada ya kufatilia hili sakata linaloendelea kati ya Harmonize (KondeGang) na Rayvany (Wasafi) maoni yangu ni kwamba Wasafi wameshinda hii battle ingawa kwa jicho la kawaida unaweza usigundue.

Nachoona hapa Wasafi lengo lao Kubwa ni kuihamisha hii bifu ya Harmonize dhidi ya Diamond, na kuipeleka kwa Harmonize dhidi ya Rayvany kwakuwa waliona Diamond hanufaiki na bifu hilo, ila kwa Rayvanny itamsaidia kukua zaidi huku Harmonize akibaki palepale au kushuka.

Kitendo cha Harmonize kushindanishwa na wasanii wakubwa kama Diamond au hata Kiba kilikuwa kinamuweka pazuri zaidi kuliko hivi ambavyo anashindana na Rayvanny mtu ambaye hata yeye anaamini anamzidi 'ukubwa'.

Nimeona kwenye interview Rayvanny anazungumzia kuhusu kumzidi Harmonize subscription, views na online sales; hakika hivyo hajavisema kwa bahati mbaya, hii ishu iko planned kabisa na management, na Diamond kajikausha kama hausiki ila usikute ndio masterplan wa mchezo mzima.

Inshort walijua kile kitendo cha Ray kurelease video yake na Paula ni lazima konde atajichanganya tu, na kweli ikawa hivyo. Sasa usishangae kutoona mashabiki wakimlinganisha Harmonize na Diamond, utaona wanamlinganisha na Rayvanny huku Diamond yuko bts anakula popcorn tu
 
Vijana Wana talent kubwa, Tena zinawapa mpunga mrefu ambao hata wasomi wa vyuo vikuu wanaziota na kuziona ndotoni tu,lakini hawa vijana wanakosa Elimu kichwani,ujinga mwingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom