Raymond - Natafuta Kiki (WCB new song)

Raymond - Natafuta Kiki (WCB new song)

Daaaah!!! nimeisikiliza kwa mara pili sasa,kama dogo haandikiwi mashairi basi hakika Rayvanny anajua kila kiti,utunzi ,melody,kucheza,vimaringo flani hv a.k.a manjonjo...huyu ndo kichwa kuliko wote pale WCB...naskia melody zooote za Mondi dogo ndo anampaga,mpaka melody ya Shetta namjua ni dogo ndo kampa
Diamond wakati anatoa my number one,Raymond Alikuwa Nzovwe huku anashinda video library, leo useme ndo anampa Melody Diamond,..... HIVI NI CHUKI TU AU KUNA KINGINE
 
Ngoma tamu, ila sikupenda baadhi ya majina aliyoyataja.
 
Nachokubali kuhusu ngoma za huyu dogo ni kwamba analikazania kwanza soko la nyumbani... yaani ngoma zake zote mbili hizi amehakikiasha anakua na fanbase imara apa bongo kwanza!!

Naamini akieendelea hivi ngazi kwa ngazi atapita kama Diamond aliaanza kutoa vingoma kama hivi vya kuchezeka chezeka na kusikilizika kibongo bongo kabla haja upgrade level zake....

Naona WCB wanajua wanachokifanya big up sanaa kwao.!!
 
"Kichupa" sijakiona kusema kweli ila wimbo nimeusikia
 
Diamond wakati anatoa my number one,Raymond Alikuwa Nzovwe huku anashinda video library, leo useme ndo anampa Melody Diamond,..... HIVI NI CHUKI TU AU KUNA KINGINE

E bhana umenikumbusha Nzovwe tulikuwa tunakwenda kunywa Kadansana kule. Dah, sijui bado ipo Ile kitu maana polisi waliipiga marufuku ikawa inaletwa kinyemela kutoka Malawi
 
Hii dude n balaaa real talent nilijua n hit song toka alipouimba kwny b'day ya meneja salam sk yeeah
 
Wimbo ni mzuri.

Dogo naona ana kipaji cha kutunga mashairi [kama kayaandika yeye].

Lakini, hii taja taja ya majina inaanza kuboa sasa.

Hivi wamekosa kabisa ubunifu mwingine zaidi ya kutaja majina yaleyale?
 
Sijamuelewa alivyomtaja shishi kwamba hapendi kusali
 
Wimbo ni mzuri.

Dogo naona ana kipaji cha kutunga mashairi [kama kayaandika yeye].

Lakini, hii taja taja ya majina inaanza kuboa sasa.

Hivi wamekosa kabisa ubunifu mwingine zaidi ya kutaja majina yaleyale?
Dogo amewahi kuwa mshindi wa freestyle battle Tanzania..Naamini ni mzuri kwenye mashairi..Atakuwa anaandika mwenyewe

Back
Top Bottom