serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,354
- 4,771
Kaanza lini kuwayungia melody?? Dogo hana hata mwaka WCBHuyu ndiyo msanii sasa, Wcb wote pale huyu ndiyo huwa anawatungia mistari melody na kila kitu, safi sana Raymond, Muda si muda hao wakina mondy wataanza kukuchukia sababu unakimbiza mbaya