ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Msanii wa kike wa bongo fleva Ray C amesema kwamba TID ndo alimsababisha kujiingiza katika vitendo vya kula UNGA(cocain).
Akiongea zaidi katika kituo kimoja cha radio, Ray C aliongelea uhusiano wake na lod eyes kuwa ulichangiwa zaidi na madawa` lod na mimi tulikutana wote tukiwa wavuta unga'.
Msaníi huyo sasa amejiunga ktk taasisi moja ya kuzuia madawa, na ameacha kuvuta unga. Na sasa anawahamasisha watu kujiondoa ktk madawa ya kulevya.