Ray C: TID ndo alinifundisha kuvuta UNGA!

Fikiri angekua ndio dada yako kipenzi amekutwa na hali hiyo,halafu rafiki yako anakwambia akafie mbali.!
Mi nafikiri alianza kula madawa ya kulevya baada ya kukutana na yule aliyekuwa kibosile wa BOT a.k.a mzaee wa Keko remand prison aliyekuwa anahonga magari mekundu sasa naona dada yetu Ray C ,hakuambulia hilo gari pamoja na kumshughulisha Mzee
 
kheeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Ray C ameyaponda sana maisha enzi za u-celebrate wake...kila kilevi alitumia;pole zake kwa kuangukia kwenye unga;ila bado ana nafasi ya kurudi kuwa msichana safi na akawa mwalimu wa wengine kuachana na madawa na wengine kutothubutu hata kusogelea madawa hayo!Mwisho wapi??
 
Hivi we Mbongo na umaskni wako unakula cocaine unategenea nini...?Mamilionaire tu wenyewe wanafilisika wengine wanakufa..Ray c angemfikiria mama yake alivyomlea kwa tabu bila baba.
 
Hivi we Mbongo na umaskni wako unakula cocaine unategenea nini...?Mamilionaire tu wenyewe wanafilisika wengine wanakufa..Ray c angemfikiria mama yake alivyomlea kwa tabu bila baba.

Hata sio cocaine, haya ni mabaki ya dawa mbalimbali yanasagwa na kuchanganywa na acid yanauzwa mtaani.
In short ni matakataka.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sidhani kama hii habari ni ya kweli...habari za uhakika nilizo nazo toka kwa mtu anayemsaidia kuacha madawa ni kuwa hajaacha, na kama wiki mbili zilizopita alitoroka rehab Hydom Arusha...na hana tena mawasiiliano na watu wanaomtakia mema..yaani waliokuwa wakijitahidi kumsaidia kuacha madawa ya kulevya unless anapokuwa hana kitu ndio anapiga simu za mizinga!

She is battling it...she needs help...a serious help!

Kweli ni hatari sana ...Inasikitisha sana coz jamii inamwitaji sana
 
Hata sio cocaine, haya ni mabaki ya dawa mbalimbali yanasagwa na kuchanganywa na acid yanauzwa mtaani.
In short ni matakataka.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kweli mkuu, ni dawa ambazo in nature sio cocaine, zinasagwa halafu zinachanganywa na lactic acid, ndio bongo wanaita cocaine, in real sense it is not cocaine
 
attachment.php

Mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom