Ray C: TID ndo alinifundisha kuvuta UNGA!

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,941
3,860
Msanii wa kike wa bongo fleva Ray C amesema kwamba TID ndo alimsababisha kujiingiza katika vitendo vya kula UNGA(cocain).

Akiongea zaidi katika kituo kimoja cha radio, Ray C aliongelea uhusiano wake na lod eyes kuwa ulichangiwa zaidi na madawa` lod na mimi tulikutana wote tukiwa wavuta unga'.

Msaníi huyo sasa amejiunga ktk taasisi moja ya kuzuia madawa, na ameacha kuvuta unga. Na sasa anawahamasisha watu kujiondoa ktk madawa ya kulevya.
 
kibaya zaidi wauza nyunga wengi wanajulikana na ndio wanaonekana mashujaa mitaani, kumbe wanatumaliza tu
 
Hili ni tatizo kubwa sana mtaani na kwenye muziki...sasa ivi eti ujanja ni kula madawa duh
 
Msanii wa kike wa bongo fleva Ray C amesema kwamba TID ndo alimsababisha kujiingiza katika vitendo vya kula UNGA(cocain), akiongea zaidi katika kituo kimoja cha radio, Ray C aliongelea uhusiano wake na lod eyes kuwa ulichangiwa zaidi na madawa` lod na mimi tulikutana wote tukiwa wavuta unga' . Msaníi huyo sasa amejiunga ktk taasisi moja ya kuzuia madawa, na ameacha kuvuta unga. Na sasa anawahamasisha watu kujiondoa ktk madawa ya kulevya

Ahamasishe watu waaache vyooooooote ila akijishaua kukataza Gomba twamsomea Albadili...
Amuulize mzee wa kiraracha
 
Sidhani kama hii habari ni ya kweli...habari za uhakika nilizo nazo toka kwa mtu anayemsaidia kuacha madawa ni kuwa hajaacha, na kama wiki mbili zilizopita alitoroka rehab Hydom Arusha...na hana tena mawasiiliano na watu wanaomtakia mema..yaani waliokuwa wakijitahidi kumsaidia kuacha madawa ya kulevya unless anapokuwa hana kitu ndio anapiga simu za mizinga!

She is battling it...she needs help...a serious help!
 
Duuuh.. Kuacha unga kazi sana,..
 
Mateja wanakuambia raha ya Unga eti ukishajiDunga raha yake ni kama uwapo kwenye 6x6 ile raha ya mwisho kabisa unapofikia kileleni!:confused2:
 
Sidhani kama hii habari ni ya kweli...habari za uhakika nilizo nazo toka kwa mtu anayemsaidia kuacha madawa ni kuwa hajaacha, na kama wiki mbili zilizopita alitoroka rehab Hydom Arusha...na hana tena mawasiiliano na watu wanaomtakia mema..yaani waliokuwa wakijitahidi kumsaidia kuacha madawa ya kulevya unless anapokuwa hana kitu ndio anapiga simu za mizinga!

She is battling it...she needs help...a serious help!

Inasikitisha sana,wadau hasa wa muziki na wasanii wenye mwenendo mzuri wamsadie huyu dada.vijana wetu wanaharibika kwa kasi sana utashangaa POLISI wanachokitengo cha kupambana na dawa za kulevya lakini hawawatumii vijana kama hawa (ofcourse na mateja waliojaa barabarani) kuwakamata wauzaji wakubwa.

Habari ya Ray C inawakilisha maisha ya sasa ya vijana wengi,Taifa litaangamia namna hii.
 
Msanii wa kike wa bongo fleva Ray C amesema kwamba TID ndo alimsababisha kujiingiza katika vitendo vya kula UNGA(cocain), akiongea zaidi katika kituo kimoja cha radio, Ray C aliongelea uhusiano wake na lod eyes kuwa ulichangiwa zaidi na madawa` lod na mimi tulikutana wote tukiwa wavuta unga' . Msaníi huyo sasa amejiunga ktk taasisi moja ya kuzuia madawa, na ameacha kuvuta unga. Na sasa anawahamasisha watu kujiondoa ktk madawa ya kulevya
Radio mmoja Radio gani haina jina.
 
waambien siku zingine wasivute wasonge ugali watafute mboga kabisa wale vizur maana hawana ufikir mzur
 
kweli kila kitu kina mwanzo na mwisho ila wakati mwingine mwisho unakuwa mbaya. sitaki kuamini kama mwisho wa ray c ndio umekuwa hivi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom