donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Jamani,
Mbona watanzania tunakua tuna roho mbaya? Mwenzetu kaamua kumpokea Yesu kua bwana na mwokozi wa maisha yake badala ya kumsifu tunaanza kukashifu. Si vyema kumwongelea mtu vibaya kutokana na uamuzi mkubwa kama huu aliouchukua wakupiga hatua kubwa katika maisha yake. Amepitia katika kipindi kigumu na kwasasa amepata pumziko la ukweli katika Yesu kristo kwaio anahitaji pongezi za dhati na pia msaada wa kiroho ili aweze kusimama katika imani yake. Wewe unaemkashifu je, uko safi? Y'all shouldn't cast stones on her. Mwisho kabisa nasema YeYe ajidhanie amesimama aangalie asianguke.