Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,897
- 3,706
Mtaalam nakuomba ufafanue vizuriKumbe tatizo lilianzia hapa
Mtaalam nakuomba ufafanue vizuriKumbe tatizo lilianzia hapa
Hajampokea yesu ila amefata maslahi ya kimziki kwakia injiri INA ripa duYeah ht mimi nimeona instagram good for her...abarikiwe
kaazi kweli kweli watu wanamtania mungu sanaUmesha mpokea Yesu wewe? Au na wewe huna lolote?
Yesu ANAENDELEA KUBATIZA WATU, NYIE MNAENDELEA KUPIGA MAKELELE.
Yesu halazimishi watu, wanakuja wenyeweeeeeee
😀😀😀Ray C kapata danga huko England wiki hii Instagram watu hawalali
Kuna wasanii WA ubongo WA freva wengi wanajifanya wanaupa kisogo mziki huo na kuugeukia mziki WA injiri na kujifanya wameokoka pumbaav kabisa washenzi hawa wanaingia huko kwa ajiri ya maslahi baada ya kuona wamebuma kwenye mziki WA bongo freva lakini hawaingii kwenye injiri kama walokole Bali ni tamaa na kumtania mungu Bali nasfi zao zimejaa maovu na ushenzi mwingi ndani yake maslahi wameyaweka mbele kuliko mungu aliyewaumba hivyo nakataa kusikia ray c kamgeukia mungu anaimba injiri huu ni unafki WA asubuhi mapemaaaaaa. SHAME ON YOU REHEMA