Ray C ampokea Yesu na kubatizwa

amechagua fungu lililojema, Mungu amtangulie ktk maisha haya mapya
 
Teh teh teh teh!
Macho yake kama ana pepo!
Hivi kumbe hata wanawake ni manabii kwenu ati!?
Nyie mmemshinda hata mungu wenu!
Manake mungu wenu yule mzungu hajawahi kuwa na nabii mwanamke!
Au ukiwa muizraeli mweusi inakubalika!?

We ni mbumbumbu tu... Yani yale maneno ya kiarabu ndo yanakufanya uwe hivyo..??? Kweli #muhamad aliwaachia janga la kimashariki ya kati!
 
Teh teh teh teh!
Macho yake kama ana pepo!
Hivi kumbe hata wanawake ni manabii kwenu ati!?
Nyie mmemshinda hata mungu wenu!
Manake mungu wenu yule mzungu hajawahi kuwa na nabii mwanamke!
Au ukiwa muizraeli mweusi inakubalika!?

We ni mbumbumbu tu... Yani yale maandishi ya kiarabu ndo yanakufanya uwe hivyo..??? Kweli #muhamad aliwaachia janga la kimashariki ya kati!
 
We ni mbumbumbu tu... Yani yale maandishi ya kiarabu ndo yanakufanya uwe hivyo..??? Kweli #muhamad aliwaachia janga la kimashariki ya kati!

Halafu nyie waparokia sijui kwanini silaha zenu ni matusi na kashfa! Baaas

Na mnapenda kurudiarudia maneno kama matangazo ya vifo!

Mnatakiwa muifanyie ripea hio imani yenu inaliyo muua mungu wenu!

Na mimi nina imani kuwa kama mzazi wako angekupenda kama yesu alivyopendwa na baba yake!

Wewe leo usingekuwa hapa! Wangesha kusulubu zamaaani.
Sasa wee ukiendelea na matusi yako! Basi mi ntamwambia baba yako akupende tu!
Umekwisha!!
 
Yesu ni kimbilio la wa2 hachagui wala habagui.ukiwa na matatizo mkimbilie yeye atakupokeo RAY C,hata nyie mnaokashfu karbun kwa YESU.
 
Umewah kusikia m2 akipata shda anamkimbilia yeyote zaid ya YESU.KARBU SANA.VILE ULIVYO 2NAKUPENDA 2.
Halafu nyie waparokia sijui kwanini silaha zenu ni matusi na kashfa! Baaas

Na mnapenda kurudiarudia maneno kama matangazo ya vifo!

Mnatakiwa muifanyie ripea hio imani yenu inaliyo muua mungu wenu!

Na mimi nina imani kuwa kama mzazi wako angekupenda kama yesu alivyopendwa na baba yake!

Wewe leo usingekuwa hapa! Wangesha kusulubu zamaaani.
Sasa wee ukiendelea na matusi yako! Basi mi ntamwambia baba yako akupende tu!
Umekwisha!!
 
Umewah kusikia m2 akipata shda anamkimbilia yeyote zaid ya YESU.KARBU SANA.VILE ULIVYO 2NAKUPENDA 2.

Mfanyakazi wangu akipata shida huwa ananikimbilia mimi!
Na ndugu wote na marafiki ninao wafahamu pia tunakimbiliana sisi kwa sisi!
Serikali yetu hatujawahi kuskia rais wetu nchi ikipata shida akamkimbilia yesu!
Halafu nilikuuliza! Nyie mnampokea yesu kila siku!
Je! Mnampokelea wapi?
 
Mambo ya imani ya mtu sio yakuchezea na kejeli nyingi. Ndugu yangu jaribu kuwa mstaarabu kidogo. Alafu amini kile unachoona kwako ni sahihi, Maana imani yako ndiko ilipo. :thumbup:
 
Mambo ya imani ya mtu sio yakuchezea na kejeli nyingi. Ndugu yangu jaribu kuwa mstaarabu kidogo. Alafu amini kile unachoona kwako ni sahihi, Maana imani yako ndiko ilipo. :thumbup:

Umenena vyema hapo ndugu!
Lkn naomba utazame kwenye hizi threada zote!
Anaependa kutoa kejeli kwa mwenzake ni nani!
Waparokia au wale waislam! Utapata jibu!
Tena kuna wengine wanalipwa kwa kazi hio!
 
Mfanyakazi wangu akipata shida huwa ananikimbilia mimi!
Na ndugu wote na marafiki ninao uwafahamu pia tunakimbiliana sisi kwa sisi!
Serikali yetu hatujawahi kuskia rais wetu nchi ikipata shida akamkimbilia yesu!
Halafu nilikuuliza! Nyie mnampokea yesu kila siku!
Je! Mnampokelea wapi?
Mkuu labda anasafiri kutoka kishumundu
 
Nyie wafuasi wa mungu mzungu!
Ufahamu wenu woote na mtoto wa darasa la 4 hakuna tofauti kabisaa.

Mnaiga wazungu hata kwenda choo bila maji! Matokeo yake mnachafua mazingira!
Na kusababisha global warming! !

Hovyooooo! Ninyi hata kuandika ni kutoka kulia kwenda kushoto, ( you go anticlockwise huo ndio ujanja?)
 
Hovyooooo! Ninyi hata kuandika ni kutoka kulia kwenda kushoto, ( you go anticlockwise huo ndio ujanja?)

Mbona wachina wanaandika kutoka juu kwenda chini lkn wametengeneza mpaka hicho kimeo unachotumia??:D:D
 
SHETANI Hawezi kufurahia watu kumfuata YESU, Maaana anajua watapona na wataijua kweli itakayowaweka huru.

Ila YESU ni Mwanzo na Mwisho. Mungu anayetenda.

Ray C Mungu akubariki sana. Humu kuna watu watakukatisha taamaa kwa sababu ndio SHETANI anavyowatumia hivyo.

Umechagua fungu lililo jema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom