Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

Kesho tutawaona kwenye TV. Mkishindwa kesho basi haitowezekana tena. Ni muda tu ndio utabaki kuwa option ya mabadiliko ya kweli.
 
Masaa 6 yamebaki,mjitokeze kwa wingi mfundishwe adabu huko na mamlaka.
tusilaumiane j3.
Mchango matibabu hamna senti 5 ya kuchanga
 
Mmetaja maeneo tayari mtakuja vunjwa huko huko kabla kuja sumbua mjini.
Si Masaki ya Chanika huku,hatujui rais ni nani mpk sasa tunajua ni Nyerere.
Sa tumpigie kura nani tena hatumjui
Usiogope kifo unaweza kufa hata umekaa kwenye sofa hapo ndani. Unakumbuka Ile ndege ya India ilianguka juu ya nyumba wakafa hata watu ambao hawajawahi kupanda ndege. Unaona Raha wamasai kutolewa loliondo ili apewe mwarabu, vipi madini yapo kibao yanatolewa na bado unakamuliwa tozo na mikopo bado tunakopa
 
Kufa nilikufa zamani bwamdogo,nipo tu nazuga JF
 
Mfano hata mimi sioni mantiki ya kusikiliza hotuba ya CAG ilihali najua wazi kabisa hakuna hatua za uwajibikaji zitazochukuliwa kwa hao watao onekana kufuja pesa za kodi zetu.
Watu wanafuatilia mipida hata kama timu zao zikifanya vibaya, nfivyo ambavyo ilitakiwa wafiatilie mambo ya serikali na hotuba za CAG hata kama kuna madudu kibao hayafanyiwi kazi.

Simba wanapoharibu washabiki wake bado wataendelea kuifuatilia huku wakilaumu,na mambo ya serikali inatakiwa wawe na spirit hiyo hiyo bila excuses zozote mkuu.

Kushindwa kufanya hivyo ndio unaona hapa Njia ziko nyeupe kabisa katika viunga vya miji leo hii tarehe 29, WATANZANIA HAWANA MUAMKO WALA UJASIRI WALA UFUATILIAJI WA MAMBO YA NCHI YAO.

Kwa sasa hivi bado sana mkuu watanzania kufanya hayo maandamano
Mimi nayapima zaidi haya maandamano kupitia upande wanaojaribu kuyazuia, resistense wanayoionesha inaonesha wazi kabisa hiki kitu ni real.
Hakuna ureal wowote mkuu kwenye haya maandamano kwa sababu yasingeweza kufanikiwa kwa hali yoyote ile kama nilivyokusmbia watanzania bado sana.

nchi zote walizoandamana kama nepal walitishwa lakini kwa sababu yalikuwa ni real bado yalitokea.

Kitu real ni kile ambacho kimetokea tayari, kama wametishwa na hawajatoka basi hiko kitu hakikuwa real tokea mwanzo, maana wenzao nepal na kwingineko walitishwa lakini hswakurudi nyuma, why hawakurudi nyuma? Kwa sababu walikuwa tayari kufanya kitu hiko.

Hapa bongo wabongo wenyewe wao wamesharidhika na hali ya maisha wanaona changamogo zao bado sio za kuwafanya waandamane ndio maana hawajaandamana.
Mkuu wa majeshi anazunguka kila mkoa kuwataka wanajeshi wasiungane na wananchi watao andamana.
Hizi ni stori za akina mange kimambo hazina uthibitisho wowote mkuu zaidi ya alisema fulani, so hata huko jeshini hakuna tishio lolote watu wanaendelea na maisha kama kawaida.
Na kuna tetesi pia kuwa kuna wanajeshi kutoka UG wamekodiwa kwa ajili ya kuzuia maandamano kufuatia kauli ya Captain Tesha aliyodai wanajeshi wapo upande wa wananchi.
Tetesi feki, haziingii akilini ni stori tu hizo mkuu, sativa siku moja alitoa mkeka wa maafisa wa jeshi la polisi kuhamishwa vituo eti yeye anadai eti ndio wanajeshi wenyewe.

Wakati wale watu wanafahamika kabisa na vituo vyao hats ukienda vituoni walimwotaja, sasa unachukuaje taarifa kutoka kwa watu ksma hawa ambao hisia ndio zinawaongoza tu, aaah
mimi siwezi kufikiria kuwa hayo yote yanaweza kufanywa na mtu ambaye anajua uhalisia kuwa hakuna lolote litafanyiika, watanzania ni waoga, maandamano yataishia mtandaoni.
Mkuu kuna upande wa ambao hawataki kuandamana kwa sababu wanaogopa machafuko,wanajeshi wanapoonesha show zao pia inawapa moyo watanzania kwamba kama watu watafanya fujo kupitia msandamano basi vyombo viko imara kutatua hizo fujo.

So, kwa ufupi.

Watanzania kuandamana bao SAAAAAAANA
 
Amani iwe nanyi

Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao Kariakoo then tutashuka mpaka Magogoni

Polisi watatupa ushirikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe

Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea

Mpango umesukwa ukasukika msiogope kupigwa risasi hakuna hata risasi moja itayorushwa

Asanten sana

SAYUNI BOY
Unaandamana pande zipi?
 
Watu wanafuatilia mipida hata kama timu zao zikifanya vibaya, nfivyo ambavyo ilitakiwa wafiatilie mambo ya serikali na hotuba za CAG hata kama kuna madudu kibao hayafanyiwi kazi.

Simba wanapoharibu washabiki wake bado wataendelea kuifuatilia huku wakilaumu,na mambo ya serikali inatakiwa wawe na spirit hiyo hiyo bila excuses zozote mkuu.

Kushindwa kufanya hivyo ndio unaona hapa Njia ziko nyeupe kabisa katika viunga vya miji leo hii tarehe 29, WATANZANIA HAWANA MUAMKO WALA UJASIRI WALA UFUATILIAJI WA MAMBO YA NCHI YAO.

Kwa sasa hivi bado sana mkuu watanzania kufanya hayo maandamano

Hakuna ureal wowote mkuu kwenye haya maandamano kwa sababu yasingeweza kufanikiwa kwa hali yoyote ile kama nilivyokusmbia watanzania bado sana.

nchi zote walizoandamana kama nepal walitishwa lakini kwa sababu yalikuwa ni real bado yalitokea.

Kitu real ni kile ambacho kimetokea tayari, kama wametishwa na hawajatoka basi hiko kitu hakikuwa real tokea mwanzo, maana wenzao nepal na kwingineko walitishwa lakini hswakurudi nyuma, why hawakurudi nyuma? Kwa sababu walikuwa tayari kufanya kitu hiko.

Hapa bongo wabongo wenyewe wao wamesharidhika na hali ya maisha wanaona changamogo zao bado sio za kuwafanya waandamane ndio maana hawajaandamana.

Hizi ni stori za akina mange kimambo hazina uthibitisho wowote mkuu zaidi ya alisema fulani, so hata huko jeshini hakuna tishio lolote watu wanaendelea na maisha kama kawaida.

Tetesi feki, haziingii akilini ni stori tu hizo mkuu, sativa siku moja alitoa mkeka wa maafisa wa jeshi la polisi kuhamishwa vituo eti yeye anadai eti ndio wanajeshi wenyewe.

Wakati wale watu wanafahamika kabisa na vituo vyao hats ukienda vituoni walimwotaja, sasa unachukuaje taarifa kutoka kwa watu ksma hawa ambao hisia ndio zinawaongoza tu, aaah

Mkuu kuna upande wa ambao hawataki kuandamana kwa sababu wanaogopa machafuko,wanajeshi wanapoonesha show zao pia inawapa moyo watanzania kwamba kama watu watafanya fujo kupitia msandamano basi vyombo viko imara kutatua hizo fujo.

So, kwa ufupi.

Watanzania kuandamana bao SAAAAAAANA
Tatizo lako lipo kwenye ubishi na kukariri mambo.
 
Mkuu kwenye hii ishu nimekuw surprised sana na masikitiko makubwa kwa watu waliopotea.

Sikutegmea Kabisa kama hali ingelikuwa hivi,na hakika nakiri kwamba nilikariri mambo kutokana na historia ya nyuma,ila nimejifunza kitu kikubwa sana.

Ila kwenye suala la ubishi bado naendlea kujitafakari kama ninazo hizo shida niweze kurijekebisha mapema

Mungu awarehemu marehemu wote na awajalie makazi mema peponi.
 
Watu hawajapotea. Wameuwawa na maiti zao zimechukuliwa na polisi.

Hiyo ya watu kupotea labda kama umegusia matukio kabla ya 29 Oct.
 
UMakini uliouweka katika maneno yangu ya mwanzo ukiushikilia utaona hata maneno yangu ya mwisho nimewakusudia hao waliopotea kuwa ni marehemu.

Japokuwa wapo waliopotea na hawaonekani walipo.
By the way tunaelewana vyema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom