Kaka police wote wako upande wa wananchi na hata kizimkazi anajua kuwa kuna delay itafanywa na vyombo vya Dora ili kuyapa nguvu maandamanoNa hao polisi muafikishie ujumbe huu huu.
Wasijione wao kama ndio wameshikilia mpini huku wananchi wameshika makali, wakajisahau wakihisi wako safe.
Mtu muoga kama wewe huna ujasiri wa kuingia barabarani!Amani iwe nanyi
Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao kariako then tutashuka mpaka ikulu
Police watatupa ushilikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe
Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea
Mpango umesukwa ukasukika msiogope kupigwa risasi hakuna hata risasi moja itayorushwa
Asanten sana
SAYUNI BOY
Wewe kweli ni kilaza sasa unafikili tunatania
Wapo mapolisi wenye roho mbaya ambao wakipewa hela wako tayari kuwapiga wazazi waoKaka police wote wako upande wa wananchi na hata kizimkazi anajua kuwa kuna delay itafanywa na vyombo vya Dora ili kuyapa nguvu maandamano
Mkuu maandamano hapa Tz bado sana, hata hao polisi wenyeae jumbe kama hizi haziwezi kuwafundisha chochote maana wao hufuata maelekezoNa hao polisi muafikishie ujumbe huu huu.
Wasijione wao kama ndio wameshikilia mpini huku wananchi wameshika makali, wakajisahau wakihisi wako safe.
Tukutane siteAmani iwe nanyi
Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao kariako then tutashuka mpaka ikulu
Police watatupa ushilikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe
Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea
Mpango umesukwa ukasukika msiogope kupigwa risasi hakuna hata risasi moja itayorushwa
Asanten sana
SAYUNI BOY
Ww ingia barabarani tukutane ikulu ndogo za mikoani tunywe konyagi za ikulu.Na sisi wa huku Mbeya, tunaanzia wapi?
Acha ubwege kama umezaliwa tambua kuwa utakufa. Hata wewe utakufa tu. Usitutishie nyau wewe.aga na ndugu zako kabisa maana una weza usirudi milele mkuu
Wapo mapolisi wenye roho mbaya ambao wakipewa hela wako tayari kuwapiga wazazi wao
Hao sasa ndio watu wamejipanga kudili nao.
Yaani wafanye wanavyoweza ila asitokee mmoja kati yao akadakwa na raia.
Kwa chuki ambayo raia wameijenga dhidi ya hao mapolisi wenye roho mbaya ambao wanahusishwa na matukio ya utekaji nadhani itakuwa brutality kwa huyo polisi mwenye bahati mbaya atayejikuta mikononi mwa raia.
Ratiba ya hapa Lyamba lya Mfipa. Tutaanzia mtaa wa Lyela na kuelekea upande wa Nsimbo street
Uyole kuja jijini katiNa sisi wa huku Mbeya, tunaanzia wapi?
Kupata vichekesho zaidi kama hivi, tafadhali bofya 004004001Amani iwe nanyi
Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao kariako then tutashuka mpaka ikulu
Police watatupa ushilikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe
Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea
Mpango umesukwa ukasukika msiogope kupigwa risasi hakuna hata risasi moja itayorushwa
Asanten sana
SAYUNI BOY
Hili unalisema wewe.Mkuu maandamano hapa Tz bado sana, hata hao polisi wenyeae jumbe kama hizi haziwezi kuwafundisha chochote maana wao hufuata maelekezo
Mkuu umeandika mambo ya msingi sana, lakini tatizo linabaki kwa watanzania tu, hiyo level bado mkuu.Hili unalisema wewe.
Wanaofanya mikakati ya kuzuia ndio wanaujua ukweli halisi.
Na pengine hata wao watamana sana iwe hivi kama unavyosema wewe.
Wangekuwa wanaona kama unavyoona wewe, wala wasingejisumbua kuhangaika kuweka vitisho na propaganda za kuyazuia.
Maandamano ya awamu hii ni ya kipekee ni tofauti na miaka mingine. Nakupa sababu.
1. Maandamano ya miaka mingine ambayo yalishindikana yalihusisha itikadi za chama (upinzani) hivyo muitikio wa wananchi ulikuwa mdogo.
2. Organiser wa hayo maandamano walijulikana hivyo polisi walipata wepesi kuyadhibiti kwa kuwashikilia hao viongozi.
3. Kipindi hicho sababu za maandamano zilikuwa katika kudai Katiba na mambo mengine ambayo basically ni siasa. Wananchi walio wengi huwa hawajali sana wanasiasa kufanya ufisadi hivyo kuandamana kwa malengo haya kulifanya muitikio wa watu kuwa mdogo.
4. Maandamano ya miaka hiyo yalikuwa na sehemu maalumu ya kukutaniana, hivyo polisi waliweza kuwekeza nguvu eneo hilo kudhibiti waandamanaji.
4. Maandamano ya kipindi hicho yalikuwa yanapangwa kufanyika siku ambayo ni ya kawaida hivyo ilikuwa ni rahisi polisi kuyazuia hata kwa kupiga marufuku watu kutoka siku hiyo.
Lakini hali ya sasa ni hivi ni tofauti.
1. Maandamano ya saizi ni ya wananchi waliofikia ukomo wa uvumilivu juu ya matukio ya uovu yanayoendelea. Sio upinzani wala CCM (hapa ukiwatoa machawa wenye personal interests) waliobaki wengi wanaunga mkono maandamano na ndio maana utaona kuna leakage ya sensitive info ndani ya gavo. Hata wale ambao mwanzo walichukulia poa viongozi mafisadi kwasababu tu maisha yao yanaenda, wamekuwa wahanga wa kupoteza ndugu zao kupitia utekaji na .
2. Maandamano ya saizi hakuna organizer ambaye polisi wanaweza kufikiria kumshika ili kufifisha au kuzuia maandamano.
3. Sababu za maandamano zinagusa raia wengi ni pamoja na kupigania haki ya msingi ya kuishi ambayo inaonekana kuyumba kutokana na mambo ya utekaji yanayoendelea.
4. Maandamano ya msimu huu yamekuja kipindi cha uchaguzi ambacho ni lazima watu watoke, polisi hawezi kuzuia watu wasitoke nje hivyo watakuwa na wakati mgumu kujigawa kulinda wapiga kura na wakati huo huo wakazuie waandamanaji ambao hawajui watakuwa eneo gani.
Kingine cha kuongezea hapo ni hiki
Raia asilimia 90 wamechoshwa na hiki tunachopitia ila wapo ambao bado wanahofu ya kutoka kuandamana kwasababu hawana confidence.
Sasa kuna watu ambao wakijitokeza wakatoa neno, basi kundi hili lenye hofu litapata hamasa ya kuweza kutoka.
Mfano mdogo ni ile siku ya Captain Tesha, kama uliipima unaweza kuona namna watu walivyopata confidence.
Sasa jaribu kufikiria round hii kije kikosi kizima kitoe tamko kuwa wananchi kesho tokeni na hakuna mtu wa kuwabugudhi unadhani hali itakuwaje?